Tokea dunia ianze hajatokea msanii mkali wa RnB kama Jaheim, lakini sijui kwanini?

Huyu jamaa anajua balaa lkn sijui kwanini tu?,ingekuwa bongo labda tungesema jamaa ana bifu na Ruge ,wadau wa rhythm and blues nina tatizo iko wapi kwa huyu jamaa?
Nimemsahau jamaa yangu - BILLY OCEAN
 
uwezo wake uliishia hapo!ss unadrmaje hajawai kutokea km yy wkt hafiki hata robo ya Genuwine au Usher Ray..
 
Huyu jamaa anajua balaa lkn sijui kwanini tu?,ingekuwa bongo labda tungesema jamaa ana bifu na Ruge ,wadau wa rhythm and blues nina tatizo iko wapi kwa huyu jamaa?
Just incase nilikuwa naukubali sana huo wimbo wake. Ila mwana umeongeza chumvi. Tangu dunia ianze? huenda hayo ni mawazo yako au ni wapi na lini dunia ilmtangaza kwa tuzo au vyovyote kwa sifa hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…