tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,482
Babyface anajua sana kuandika nafikiria hakuna anayemfikia kwa kuandika, kuimba wapo wenye uwezo zaidi yake ,Hakuna kama Babyface masihara tuweke pembeni wadau!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babyface anajua sana kuandika nafikiria hakuna anayemfikia kwa kuandika, kuimba wapo wenye uwezo zaidi yake ,Hakuna kama Babyface masihara tuweke pembeni wadau!!
ED SHERAAN -THINKIN OUT LOUD hakunagajust in case.....jaheim
Huyu jamaa anajua balaa lkn sijui kwanini tu?,ingekuwa bongo labda tungesema jamaa ana bifu na Ruge ,wadau wa rhythm and blues nina tatizo iko wapi kwa huyu jamaa?
Kuna ngoma kashirikishwa na Nelly ni noma sana kile kiitikio kakitendea haki sana.
Kujua anajua, ila tatizo sijui nini.