Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Namba zote mpaka urefarii...Malinzi alikuwa anacheza namba ngapi kwenye timu?
Kwa msaada wa mbadhirifu na mhujumu uchumi Malinzi. Mwaka huu hayupoNafasi ya inalindwa na Simba, kumbukeni msimu uliopita kulikuwa na gap la pointi 8 mkailinda nafasi ya kuongoza mpaka mwenye nafasi yake (Yanga) ikaja pangusa vumbi na kuichukua
Endeleeni kufarijiana, kumbuka kuwa mshindi katika mashindano siyo anayeanza vizuri bali ni yule anayemaliza vizuri. Hata Semenya, yule mwanariadha wa Afrika Kusini akianza mbio huwa yuko nyuma ya wapinzani wake lakini unapofika wakati wa kuamua mshindi utamuona Semenya akinyanyua mikono yake juu akiwa amewaacha mbali wale waliomtangulia.Kwa msaada wa mbadhirifu na mhujumu uchumi Malinzi. Mwaka huu hayupo
Namba 9 , ni super subMalinzi alikuwa anacheza namba ngapi kwenye timu?
Soka si historia baba...Miaka yote, mianzo ya Yanga huwa siyo mizuri. Utakumbuka kipindi cha Maximo tuliburuza mkia kwa kipindi kirefu na kuamua kubadilisha benchi la ufundi wakati ligi ikiendelea, tulipiga hatua hadi kuchukua ubingwa.
Natabiri rasmi Yanga watamaliza ligi kuu wakiwa nafasi ya nne.Tokea aliyekuwa rais wa TFF Malinzi kuondoshwa madarakani timu za yanga na kagera wameanza ligi vibaya ni dhahiri yanga na kagera wanafanya vibaya kwenye ligi na ni jambo la kushangaza.
Imekuwa ikizoeleka kwa nyakati hizi yanga inashika nafasi ya kwanza huku kagera akiwa nafasi ya nne lkn imekuwa sivyo ndivyo klabu ya yanga inajikongoja na kagera wameshika mkia
Je yanga na kagera wana mmiss Malinzi ?
na mwaka huu nafas mnalindiwaNafasi ya inalindwa na Simba, kumbukeni msimu uliopita kulikuwa na gap la pointi 8 mkailinda nafasi ya kuongoza mpaka mwenye nafasi yake (Yanga) ikaja pangusa vumbi na kuichukua
Naomba uweke msimamo kama huo kwenye raundi kama hii kwa Ligi ya msimu uliyopita tuone iwapo Yanga ilikuwa inaongoza Ligi au iwapo Simbahaikuwa ikiongoza Ligi.Tokea aliyekuwa rais wa TFF Malinzi kuondoshwa madarakani timu za yanga na kagera wameanza ligi vibaya ni dhahiri yanga na kagera wanafanya vibaya kwenye ligi na ni jambo la kushangaza.
Imekuwa ikizoeleka kwa nyakati hizi yanga inashika nafasi ya kwanza huku kagera akiwa nafasi ya nne lkn imekuwa sivyo ndivyo klabu ya yanga inajikongoja na kagera wameshika mkia
Je yanga na kagera wana mmiss Malinzi ?
Aiss hiyo app yenye matokeo inaitwaje?Tokea aliyekuwa rais wa TFF Malinzi kuondoshwa madarakani timu za yanga na kagera wameanza ligi vibaya ni dhahiri yanga na kagera wanafanya vibaya kwenye ligi na ni jambo la kushangaza.
Imekuwa ikizoeleka kwa nyakati hizi yanga inashika nafasi ya kwanza huku kagera akiwa nafasi ya nne lkn imekuwa sivyo ndivyo klabu ya yanga inajikongoja na kagera wameshika mkia
Je yanga na kagera wana mmiss Malinzi ?
Kama ukienda Azam au singida United, ndio Lwandamila atakuwa ni kocha mahiri?Endeleeni kusikiliza nyimbo za Haji Manara.
Unatania lakini mwisho wa msimu Itakuwa hivyo. Ba Yanga akikosa ubingwa, utaenda Singida United au Azam
Usifikiri kila siku ni Jumatano. Endelea kutoa sare na Lipuli na Majimaji, tuone kama hujateremka darajaNaomba uweke msimamo kama huo kwenye raundi kama hii kwa Ligi ya msimu uliyopita tuone iwapo Yanga ilikuwa inaongoza Ligi au iwapo Simba haikuwa ikiongoza Ligi.
Omog ndiyo atakuwa kocha mahiri sanaKama ukienda Azam au singida United, ndio Lwandamila atakuwa ni kocha mahiri?
Hadi sasa ni mahiriOmog ndiyo atakuwa kocha mahiri sana
Mahiri wa pili. Labda arudi Azam tena awe wa kwanzaHadi sasa ni mahiri
Usifikiri kila siku ni Jumatano. Endelea kutoa sare na Lipuli na Majimaji, tuone kama hujateremka daraja