Tokea Malinzi aondoshwe, Yanga wanaboronga

Tokea Malinzi aondoshwe, Yanga wanaboronga

Nafasi ya inalindwa na Simba, kumbukeni msimu uliopita kulikuwa na gap la pointi 8 mkailinda nafasi ya kuongoza mpaka mwenye nafasi yake (Yanga) ikaja pangusa vumbi na kuichukua
 
Nafasi ya inalindwa na Simba, kumbukeni msimu uliopita kulikuwa na gap la pointi 8 mkailinda nafasi ya kuongoza mpaka mwenye nafasi yake (Yanga) ikaja pangusa vumbi na kuichukua
Kwa msaada wa mbadhirifu na mhujumu uchumi Malinzi. Mwaka huu hayupo
 
Kwa msaada wa mbadhirifu na mhujumu uchumi Malinzi. Mwaka huu hayupo
Endeleeni kufarijiana, kumbuka kuwa mshindi katika mashindano siyo anayeanza vizuri bali ni yule anayemaliza vizuri. Hata Semenya, yule mwanariadha wa Afrika Kusini akianza mbio huwa yuko nyuma ya wapinzani wake lakini unapofika wakati wa kuamua mshindi utamuona Semenya akinyanyua mikono yake juu akiwa amewaacha mbali wale waliomtangulia.

Miaka yote, mianzo ya Yanga huwa siyo mizuri. Utakumbuka kipindi cha Maximo tuliburuza mkia kwa kipindi kirefu na kuamua kubadilisha benchi la ufundi wakati ligi ikiendelea, tulipiga hatua hadi kuchukua ubingwa. Mwaka jana (Malinzi akiwepo) tulisuasua sana hadi kuzidiwa pointi 8 na aliyekuwa anaongoza ligi (asomaye na afahamu), mwishoni wewe mwenyewe unafahamu ni nani aliyebeba ndoo.

Hadi sasa tunazidiwa pointi 2 tu na anayeongoza ligi (Malinzi hayupo) hii inaonesha kuwa Yanga imeimarika zaidi bila ya kuwepo Malinzi na hivyo hakuna cha kum_miss.
 
Miaka yote, mianzo ya Yanga huwa siyo mizuri. Utakumbuka kipindi cha Maximo tuliburuza mkia kwa kipindi kirefu na kuamua kubadilisha benchi la ufundi wakati ligi ikiendelea, tulipiga hatua hadi kuchukua ubingwa.
Soka si historia baba...
 
Nyie ongeeni weee lakini tarehe 4/11 tukutane Namfua.
 
Mamvi Elimu.Elimu.Elimu...miaka 10 Yanga kachukuwa kombe mara 7....
 
Tokea aliyekuwa rais wa TFF Malinzi kuondoshwa madarakani timu za yanga na kagera wameanza ligi vibaya ni dhahiri yanga na kagera wanafanya vibaya kwenye ligi na ni jambo la kushangaza.

Imekuwa ikizoeleka kwa nyakati hizi yanga inashika nafasi ya kwanza huku kagera akiwa nafasi ya nne lkn imekuwa sivyo ndivyo klabu ya yanga inajikongoja na kagera wameshika mkia

Je yanga na kagera wana mmiss Malinzi ?

aabf3cea429f44f911efd73e1dcea34a.jpg

46f94bdde15915ff030ac77e102978f5.jpg
Natabiri rasmi Yanga watamaliza ligi kuu wakiwa nafasi ya nne.
 
Nafasi ya inalindwa na Simba, kumbukeni msimu uliopita kulikuwa na gap la pointi 8 mkailinda nafasi ya kuongoza mpaka mwenye nafasi yake (Yanga) ikaja pangusa vumbi na kuichukua
na mwaka huu nafas mnalindiwa
 
Tokea aliyekuwa rais wa TFF Malinzi kuondoshwa madarakani timu za yanga na kagera wameanza ligi vibaya ni dhahiri yanga na kagera wanafanya vibaya kwenye ligi na ni jambo la kushangaza.

Imekuwa ikizoeleka kwa nyakati hizi yanga inashika nafasi ya kwanza huku kagera akiwa nafasi ya nne lkn imekuwa sivyo ndivyo klabu ya yanga inajikongoja na kagera wameshika mkia

Je yanga na kagera wana mmiss Malinzi ?

aabf3cea429f44f911efd73e1dcea34a.jpg

46f94bdde15915ff030ac77e102978f5.jpg
Naomba uweke msimamo kama huo kwenye raundi kama hii kwa Ligi ya msimu uliyopita tuone iwapo Yanga ilikuwa inaongoza Ligi au iwapo Simbahaikuwa ikiongoza Ligi.
 
Tokea aliyekuwa rais wa TFF Malinzi kuondoshwa madarakani timu za yanga na kagera wameanza ligi vibaya ni dhahiri yanga na kagera wanafanya vibaya kwenye ligi na ni jambo la kushangaza.

Imekuwa ikizoeleka kwa nyakati hizi yanga inashika nafasi ya kwanza huku kagera akiwa nafasi ya nne lkn imekuwa sivyo ndivyo klabu ya yanga inajikongoja na kagera wameshika mkia

Je yanga na kagera wana mmiss Malinzi ?

aabf3cea429f44f911efd73e1dcea34a.jpg

46f94bdde15915ff030ac77e102978f5.jpg
Aiss hiyo app yenye matokeo inaitwaje?
 
Endeleeni kusikiliza nyimbo za Haji Manara.
Unatania lakini mwisho wa msimu Itakuwa hivyo. Ba Yanga akikosa ubingwa, utaenda Singida United au Azam
Kama ukienda Azam au singida United, ndio Lwandamila atakuwa ni kocha mahiri?
 
Naomba uweke msimamo kama huo kwenye raundi kama hii kwa Ligi ya msimu uliyopita tuone iwapo Yanga ilikuwa inaongoza Ligi au iwapo Simba haikuwa ikiongoza Ligi.
Usifikiri kila siku ni Jumatano. Endelea kutoa sare na Lipuli na Majimaji, tuone kama hujateremka daraja
 
Usifikiri kila siku ni Jumatano. Endelea kutoa sare na Lipuli na Majimaji, tuone kama hujateremka daraja

Nashukuru umeelewa nilichokusudia, ndio maana umenikatalia ombi langu kwa kuja na tahadhari isiyonihusu. Nimeomba kiberiti niwashie sigara, unanitahadharisha nisijiingize kwenye siasa; wapi na wapi!
 
Back
Top Bottom