Tokea Mo29 sisikii kauli za kumuita Rais Mama, Mama, Mama.

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,516
Reaction score
5,463
Kumbe adabu inaweza kuletwa kabisa,

Nitafutie nyuzi Tano (5) au Press Za watu wa 5 machawa tofauti tofauti ambazo wamezungumza hivi karibuni after kile kitimu timu cha Mo29 halaf nionyeshe kama wanaita tena lile jina la Mama, Mama, Mama.

Jana tu Masheikh wamesema sana ila Title iliyokua inatumika ni Rais Samia fatilia..

Ila before Mo29 kila mtu alikua akiita press au akianzisha Uzi ulikua Mama yetu kipenzi Mara mama yetu msikivu..😂😂

Vijana Gen Z wamewasalimia kidogo tu kina Nenga na Shishi Machawa wote wamefyata Mkia dadeek zao.

Bado D9 inaenda kufuta kabisa hadi hilo jina SAMIA

Ilikua ina KERA sana watu walisahau wazazi wao wakajikita na huyu Bibi kila siku Mama na Lissu hili alilikemea sana.

Kama unabisha Pitia Majukwa yote humu ukikuta nyuzi hata 3 zimeandikwa kwa Title za Mama, Mam, Mama, Tuma Lipa Nambq ujichape li Pepsi hapo.
 
Hujawasikia.BAR KWATA

FB_IMG_1763577727084.jpg
 
Vijana Gen Z wamewasalimia kidogo tu kina Nenga na Shishi Machawa wote wamefyata Mkia dadeek zao.😁😁😁😁
 
Kumbe adabu inaweza kuletwa kabisa,

Nitafutie nyuzi Tano (5) au Press Za watu wa 5 machawa tofauti tofauti ambazo wamezungumza hivi karibuni after kile kitimu timu cha Mo29 halaf nionyeshe kama wanaita tena lile jina la Mama, Mama, Mama.

Jana tu Masheikh wamesema sana ila Title iliyokua inatumika ni Rais Samia fatilia..

Ila before Mo29 kila mtu alikua akiita press au akianzisha Uzi ulikua Mama yetu kipenzi Mara mama yetu msikivu..😂😂

Vijana Gen Z wamewasalimia kidogo tu kina Nenga na Shishi Machawa wote wamefyata Mkia dadeek zao.

Bado D9 inaenda kufuta kabisa hadi hilo jina SAMIA

Ilikua ina KERA sana watu walisahau wazazi wao wakajikita na huyu Bibi kila siku Mama na Lissu hili alilikemea sana.

Kama unabisha Pitia Majukwa yote humu ukikuta nyuzi hata 3 zimeandikwa kwa Title za Mama, Mam, Mama, Tuma Lipa Nambq ujichape li Pepsi hapo.
Hawa watoto wabarikiwe sana! Eeeh Mungu wabariki Gen-Z na mipango yao yote ibarikiwe! Wametusaidia kuondoa baadhi ya ujinga katika nchi hii!
 
We will never be the same again sasa hivi ukutaka kuongea kitu lazima uwaze mara mbili mbili watu hawasikilizi tena ujinga vijana wamejua hawapendwi so they don’t care for any shit
 
Yaani huko nyuma kabla ya haya tulionekana kama wote kama barmedi tu,vikina nani sijui vilikuwa vinaharisha mpaka kupitiliza,ila limepigwa pigo moja takatifu limezima majigambo yote
 
Hawa watoto wabarikiwe sana! Eeeh Mungu wabariki Gen-Z na mipango yao yote ibarikiwe! Wametusaidia kuondoa baadhi ya ujinga katika nchi hii!
Wamepunguza kama siyo kuondoa kabisa Uchawa. Kwa saa chache tu, wale chawa waliokuwa wamebandika picha magari yao, nyumba na kuta zao, walizibandua wenyewe na kuziteketeza kwa siri kabla Gen-Z hawajawafikia.
 
Back
Top Bottom