THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Hujawasikia.BAR KWATAKumbe adabu inaweza kuletwa kabisa,
Nitafutie nyuzi Tano (5) au Press Za watu wa 5 machawa tofauti tofauti ambazo wamezungumza hivi karibuni after kile kitimu timu cha Mo29 halaf nionyeshe kama wanaita tena lile jina la Mama, Mama, Mama.
Jana tu Masheikh wamesema sana ila Title iliyokua inatumika ni Rais Samia fatilia..
Ila before Mo29 kila mtu alikua akiita press au akianzisha Uzi ulikua Mama yetu kipenzi Mara mama yetu msikivu..ππ
Vijana Gen Z wamewasalimia kidogo tu kina Nenga na Shishi Machawa wote wamefyata Mkia dadeek zao.
Bado D9 inaenda kufuta kabisa hadi hilo jina SAMIA
Ilikua ina KERA sana watu walisahau wazazi wao wakajikita na huyu Bibi kila siku Mama na Lissu hili alilikemea sana.
Kama unabisha Pitia Majukwa yote humu ukikuta nyuzi hata 3 zimeandikwa kwa Title za Mama, Mam, Mama, Tuma Lipa Nambq ujichape li Pepsi hapo.
Press almost nzima wametumia Title ya "Rais" sio kama Mwanzo ilikua Mama Mama
Vijana Gen Z wamewasalimia kidogo tu kina Nenga na Shishi Machawa wote wamefyata Mkia dadeek zao.ππππKumbe adabu inaweza kuletwa kabisa,
Nitafutie nyuzi Tano (5) au Press Za watu wa 5 machawa tofauti tofauti ambazo wamezungumza hivi karibuni after kile kitimu timu cha Mo29 halaf nionyeshe kama wanaita tena lile jina la Mama, Mama, Mama.
Jana tu Masheikh wamesema sana ila Title iliyokua inatumika ni Rais Samia fatilia..
Ila before Mo29 kila mtu alikua akiita press au akianzisha Uzi ulikua Mama yetu kipenzi Mara mama yetu msikivu..ππ
Vijana Gen Z wamewasalimia kidogo tu kina Nenga na Shishi Machawa wote wamefyata Mkia dadeek zao.
Bado D9 inaenda kufuta kabisa hadi hilo jina SAMIA
Ilikua ina KERA sana watu walisahau wazazi wao wakajikita na huyu Bibi kila siku Mama na Lissu hili alilikemea sana.
Kama unabisha Pitia Majukwa yote humu ukikuta nyuzi hata 3 zimeandikwa kwa Title za Mama, Mam, Mama, Tuma Lipa Nambq ujichape li Pepsi hapo.
Hawa watoto wabarikiwe sana! Eeeh Mungu wabariki Gen-Z na mipango yao yote ibarikiwe! Wametusaidia kuondoa baadhi ya ujinga katika nchi hii!Kumbe adabu inaweza kuletwa kabisa,
Nitafutie nyuzi Tano (5) au Press Za watu wa 5 machawa tofauti tofauti ambazo wamezungumza hivi karibuni after kile kitimu timu cha Mo29 halaf nionyeshe kama wanaita tena lile jina la Mama, Mama, Mama.
Jana tu Masheikh wamesema sana ila Title iliyokua inatumika ni Rais Samia fatilia..
Ila before Mo29 kila mtu alikua akiita press au akianzisha Uzi ulikua Mama yetu kipenzi Mara mama yetu msikivu..ππ
Vijana Gen Z wamewasalimia kidogo tu kina Nenga na Shishi Machawa wote wamefyata Mkia dadeek zao.
Bado D9 inaenda kufuta kabisa hadi hilo jina SAMIA
Ilikua ina KERA sana watu walisahau wazazi wao wakajikita na huyu Bibi kila siku Mama na Lissu hili alilikemea sana.
Kama unabisha Pitia Majukwa yote humu ukikuta nyuzi hata 3 zimeandikwa kwa Title za Mama, Mam, Mama, Tuma Lipa Nambq ujichape li Pepsi hapo.
Wakristo na waislamu Adui yetu mkubwa ni CCM tu sio bakwata wala katoliki.
Wamepunguza kama siyo kuondoa kabisa Uchawa. Kwa saa chache tu, wale chawa waliokuwa wamebandika picha magari yao, nyumba na kuta zao, walizibandua wenyewe na kuziteketeza kwa siri kabla Gen-Z hawajawafikia.Hawa watoto wabarikiwe sana! Eeeh Mungu wabariki Gen-Z na mipango yao yote ibarikiwe! Wametusaidia kuondoa baadhi ya ujinga katika nchi hii!
Huu ujinga ufute