Tokea mtaani hadi bungeni - Profesa Jay

Mjasiriamali1

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2009
Posts
891
Reaction score
237
Nichukue nafasi hii kumpongeza na mwanaharakati wa kweli aliyetumia nguvu ya mic! kumletea mafanikio mpaka kuingia mjengoni Joseph Haule-Mbunge wa Mikumi! hongera heavy weight!!!

Alifanikiwa kubadilisha game ya mziki hapa Tanzania, miziki yake mpaka leo haichuji! ina message nzito! amefanikiwa kutunza u star wake kwa muda mrefu bila kujiharibia heshima, yuko socio na watu wote mtaani!

Si kama wasanii wengine akifanikiwa kununua passo tuu mtakoma mtaani, always anafikiri sana kabla ya kuongea kitu! hii inatufundisha vijana ukiwa na ndoto ifuate hakuna kurudi nyuma, hakuna kukata tamaa, mwimbo wake wa mwisho ni kama aliundaa kwa ajili ya kusafisha "njia" nimpongeze sana! sana!

Kwa mafanikio aliyofikia! na uvumilivu mkubwa! kupata maendeleo unayotaka si lelemama! bila kona! kona! huyu katumia akili za kuzaliwa na sauti yake mpaka kufikia hapo alipofikia huu ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wengine tuwe na malengo katika kile tunachokifanya tusifanye kwa ajili ya kujipatia mashabiki tuu! ninaamini safari ya uwaziri unamnukia hata kufikia ndoto ya uraisi! tunakutakia mafanikio Bro! a.k.a "kipi sijasikia"
 
Viva Professor Jay
Viva UKAWA
Viva ✌✌✌✌✌
 

Attachments

  • 1445949998897.jpg
    62.1 KB · Views: 1,655
J.tunakuximia.joseph haule mc shupavu wa mitulinga mchawi wa rap mti mkavu
 
Prof J ni habari nyingine kabisa,jamaa ni mwanaharakati toka zamani.
 
When it is too dark you can see the star;Hongera sana Prof.J.
 
Heshima na hongera kwake mtu mzima. True G.O.A.T. only second to himself. Kimuziki alishafika mwisho, so hii ni hatua muhimu aliyoingia. Kila la kheri kwake.
 
Wewe usiwaze kuhusu Id, hayo ndo matatizo ya kuongozwa na akili za papuchy.

Njoo na I'd yako hafu acha kutumia matope kufikiri. Naona unataka kuharibu Uzi wa profesa jay kwa kuleta personal attack zako endelea na Leo sina mda mchafu wa kujibizana. Invisible please
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…