mzalendo J
Member
- Sep 20, 2014
- 56
- 9
Kwl bro big up wasanii bongooo lala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiachana na hao.Unaweza kunisaidia msanii yeyote(Aliyeipigia debe CCM) amempongeza Prof.J...
ikiwezekana hata link ama Page zao za Twitter na FB.......
Ni mbunge wa mikumi na awatumikie wananchi wake na sio wasanii .
Nasema kwa mara ya mwisho ,tukomae kisiasa hao wasanii wana haki ya kumsupport au kutomsupport msanii mwenzao !no harm done pale professor alisimama kama joseph haule akisaka uwakilishi wa wananchi wa mikumi sio akina aunt Ezekiel na wengineo!
Kwahiyo hata wananchi ambao ni CCM hawatakuwa na haki ya kulalamika endapo wataona Prof Jay hawatekelezei mambo yao? Hivi nyie jamaa vp mbona hamuishi viroja? Kwani hata huyo Sugu hakuwahi kuwaambia kwamba yeye sio mbunge wa wasanii bali ni wa Mbeya; sasa mnalialia nini wakati tayari wameshafunguka macho kwamba hata huyo Jay sio mbunge wa wasanii bali ni wa mikumi?Utawasikia Wanalalamika prof jay hawatetei wasanii bungeni,ilo ndio tatizo
Mwalimu Evelyn Salt unajua nimekumiss hadi naumwa...yani toka tupige kura sikuoni humu ....hope umzima.....Teh Teh...peoplesss...Awakaushie tu mijusi hao
Ha ha ha powerrrr yani aluta continua....Mwalimu Evelyn Salt unajua nimekumiss hadi naumwa...yani toka tupige kura sikuoni humu ....hope umzima.....Teh Teh...peoplesss...
Kikao cha dharura prof j
Nawashukuru sana wananchi kwa kweza kunipa kura Nashangaa nimeitwa ghafla kwenye kikao cha dharula Kikao kinaashiria kina maswali juu yangu Hii inatokana na ndiyo mzee na ahadi zangu.. Naona watu ni wengi wananchi walio na maana Najaribu kutafakari ni nini kinawachanganya!! Nipo tayari kujibu maswali yenu zamu kwa zamu Watakao uliza maswali na ningependa niwafahamu!
habari wadau..
wasanii walilalamika sana sugu kutowapigania bungeni..
lakini kwenye kampeni mwaka huu wote walikimbilia kampeni za ccm na kuwaacha wenzao kina prof jay na kingwendu wakigombea ubunge makwao..
hakuna msanii alieonekana akitoa sapoti kwa kingwendu na prof jay.
bahati mbaya kingwendu kura hazijatosha but proff jay ameshinda ubunge.
sasa tusubiri kelele za kutosaidiwa na jay kutoka kwa kina ally kiba, chege, ray, mwana fa, temba, fid q na wengineo wote
Viva Professor Jay
Viva UKAWA
Viva ✌✌✌✌✌