Jamani nimeachana na binti mmoja hivi wa kiarabu baada ya kutofautiana mambo fulani hivi, saizi ni mwezi wa pili, korodani zangu hazipo na hazionekani kabisa, kupo flaaaat ila mzee anasimama kama kawaida. lakini mambo wakati tunapiga chini aliniambia maneno mengi makali nashindwa hata kuyasema nifanyeje.....................................