unaendeleaje mkuu?Nimepata tenda ya kuwafundisha wachina huko hong kong naenda next week
unaendeleaje mkuu?
Ifikie sehemu ukiambiwa na kumaizi kwamba kitu hujui,ni vema ukakubaliana nacho tu.Nitakueleza kidogo iwapo utaonesha haujui kiswahili kizuri cha mawasiliano/fasahaMimi nilijua ukijua kuandika vizuri kiswahili kina lipa.sio kila mtu anaweza kuandika vizuri,hata huko ulaya kingereza sio wote wanaondika vizuri.
sasa wewe mwenzangu unayekuja kutakebei kwa kiswahili chako fasahaa kimekupa nini !.
Wenye lugha zao wanavozidi kuzipa teknolojia na maendeleo huku wakizidi kukupa misaada.
kama lugha ina kulisha basi utakuwa tajiri
poa mkuu.Niko good sana mkuu nahisi hata mwaka mpaya naweza kutoka kama nikipata kampan
Nadhani hata hapo "ulipoandika" walivozidi panahitaji marekebisho.ππππSawa lakini sio 'kutakebei' kiswahili fasaha ni 'kutukebehi'
poa mkuu.
Tatizo mnapenda kuandika wakati lugha haipandi. Kama hujui lugha acha kuandika, uwe msomaji kama mimi. Ila ukiaamua kuandika na ukakosea lazima tukusahihishe.Mimi nilijua ukijua kuandika vizuri kiswahili kinalipa, sio kila mtu anaweza kuandika vizuri, hata huko Ulaya Kingereza sio wote wanaondika vizuri.
Sasa wewe mwenzangu unayekuja kutakebei kwa Kiswahili chako fasahaa kimekupa nini? Wenye lugha zao wanavozidi kuzipa teknolojia na maendeleo huku wakizidi kukupa misaada.
Kama lugha inakulisha basi utakuwa tajiri.