Tokea umejua kiswahili fasaha kimekusaidia nini?

Tokea umejua kiswahili fasaha kimekusaidia nini?

“Mimi sifahamu kishwahili kwa ufasaha na sioni aibu kukubali hilo... ila najifunza nkipata mda niwe bora. Siku zote naamini kuwa elimu haina mwisho”

😂😂😂 hapo nimejitahid ila naona nasound like a robot
 
Back
Top Bottom