Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Dec 30, 2022 #21 chizcom said: ...sio kila mtu anaweza kuandika vizuri, hata huko Ulaya Kingereza... Click to expand... Hivi wewe unafikiri nchi zote za ulaya wanazungumza Kiingereza kama lugha yao?
chizcom said: ...sio kila mtu anaweza kuandika vizuri, hata huko Ulaya Kingereza... Click to expand... Hivi wewe unafikiri nchi zote za ulaya wanazungumza Kiingereza kama lugha yao?
Jorge WIP JF-Expert Member Joined Jul 12, 2018 Posts 3,567 Reaction score 5,323 Dec 30, 2022 #22 “Mimi sifahamu kishwahili kwa ufasaha na sioni aibu kukubali hilo... ila najifunza nkipata mda niwe bora. Siku zote naamini kuwa elimu haina mwisho” 😂😂😂 hapo nimejitahid ila naona nasound like a robot
“Mimi sifahamu kishwahili kwa ufasaha na sioni aibu kukubali hilo... ila najifunza nkipata mda niwe bora. Siku zote naamini kuwa elimu haina mwisho” 😂😂😂 hapo nimejitahid ila naona nasound like a robot
Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 78,790 Reaction score 128,275 Dec 30, 2022 #23 HAYA LAND said: Kiranga njoo ujibu Click to expand... Nikijibu utanisaidia nini?