Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Habari Wanasports
Yanga tokea alivyocheza gemu nzito ya fainali dhidi ya Usm Alger na kuondoka na ushindi wa goli 1 kwa nunge nathubutu kusema bado hajakutana tena na gemu ya kumsumbua
Yanga siku hizi anacheza mpira wa ku-relax sana, gemu nying anadharau ndo maana ni rahisi kusikia Yanga alifungwa akachomoa na kuongeza, Yanga kama akiamua kukamia gemu zake akiwa sirias kuna uwezekano kila siku timu za bongo zikanyanyasika vibaya sana kwa vichapo vya aibu
Hata game ya Yanga dhidi ya Ihefu ilitokana na dharau zilizozidi kiwango hadi kuja kushtuka mambo si mambo
Game dhid ya azam pia azam walipata hadi chance ya kuongoza na walitaka gemu washinde lakini utawezaje kumpiga usiemuweza sasa
Game dhidi ya Simba ukiichek Yanga wamedominate game kabisa huku wakicheza kwa kurelax sana, boli linachezwa kama hizi control zetu za mtaani poor Simba
Kwasasa tunataka tuione Yanga akicheza na wanaume huko wa Afrika, kwakweli hata mzuka wa kuicheki Yanga akicheza ligi kuu unapotea sasa yani ni sawa na bondia kumpiganisha na mtoto
MNAOENDELEA KUUKATAA UKUBWA WA YANGA MDA UTAONGEA
NB:YANGA YUPO KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA KUWANIA TUZO YA CLUB BORA YA MWAKA AFRIKA