Tokelezea na mkoba wako wa Culture Element

Haya mambo ya kua unaweka vitu vizuri alafu hauweki bei na hausemi upo wapi sio poa kabisa.
Hakuna tangazo la hovyo kama kuwa na bidhaa nzuri alafu unakimbilia kutoa bei kwa kificho (PM). Hii inaonyesha haujiamini ama kuna kilicho jificha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…