Mr Bakari Yusuph
Member
- May 19, 2024
- 10
- 7
Utangulizi
Tanzania ni nchi iliyo barikiwa ecologia na bainuai nyingi ikiwemo ardhi yenye rutuba,Mito mkubwa kama Rufiji,Maziwa pekee ziwa Victoria ,mabonde misitu ya asili kama msitu wa asili wa Amani Tanga pamoja na bahari ya hindi na mengine mengi.Tunategemea mazingira yetu kwa chakula,mavazi,hewa safi ,kupata Vito vya thamani toka katika madini ya dhahabu toka Mwadui na Tanzinite Arusha .
Mazingira yamekuwa mlezi mkubwa wa maisha yetu vizazi kwa vizazi ni mlezi na shujaa wetu wa miaka yote.
Mazingira yeti ndio tegemeo letu la maisha ya kila siku hatuna sehemu nyingine .kama yanatekeleza wajibu wake kwanini tusiyape haki yake?
Mazingira yana adhubiwa kwa kosa gani?
Mipango mikakati pofu juu ya maendeleo ya haraka ya kiuchumi yanavyo Adhubu Mazingira JE ni haki?
Ukataji wa misitu kupindukia:
Tanzania imekuwa ni miongoni mwa nchi chache Africa uchumi wake unakua Kwa Kasi hali hiyo inapelekea mapinduZi ya viwanda,ongezeko la machimbo ya madini,uhitaji wa mbao,ongezeko la Mirada ya bara Barbara .Hali hii imechungia ukataji wa misitu ya asili kwa ajili ya uwekezaji ambapo imeathiri sana mazingira na kuwa ni adhabu isiyo vumilika
Chanzo: mtandaoni
Uchafuzi wa Hewa
Matumizi ya Makaa ya mawe viwandani,uchomaji wa miti na misutu kwa ajili ya mkaa na kilimo,hewa na moshi wa magari,garimoshi pamoja na matumizi ya friji na regrigirata yameathiri na kuadhibu mazingira yetu kwa kusambaza hewa ukaa
Chanzo: mtandaoni
Uchafuzi wa Ardhi na Vyanzo ya Maji
Utupaji holela wa taka ngumu,taka za kikemikali pamoja na matumizi yasiyo na mipaka ya mbolea za viwandani imezidi kuathiri ekolojia ya ardhini na majini kwa kwa ardhi kupoteza ubira wake wa kuotesha mazao.Pia vifo vya viumbe hai kama samaki kuongezeka.
chanzo : mtandaoni
Uindaji Haram wa Wanyama pori
Kwa takriban miaka kadhaa kumekuwa na ongezeko la mauaji ya wanyama pori aina ya Tembo na Kifaru hii ni juu ya uhitaji wa soko la pembe za ndovu bara Asia ongezeko hili Lina vuruga usawa wa ekolojia pia kupoteza tunu za asili
Chanzo : mtandaoni

Hatuna nyumba ya kuishi ila Pango la Simba jike mkali tulie mjeruhi kwa kumkata mkia je tuko mahali salama?
Ukame uliopitukia:
Ukataji misitu ,matumizi ya kemikali mbolea,umwagaji kemilali kimiminika pamoja na uhaba wa mvua kumeleta dhahama kubwa katika maisha ya watanzania WA Hali ya chini kwakuwa ardhi inashindwa kuotesha mazao ya chakula na biashara hali hii inasababisha njaa na video vya mama na mtoto kutokana na lishe je hasira za Mazingira tunaziweza
Chanzo: mtandaoni
Maafuriko ya Mara kwa Mara
Mazingira usipoyatunza lazima yatakuadhibu bila huruma na wanao teseka zaidi ni watoto, wanawake na wazee .Kwanini uzembe na tamaa za watu wachache zileteshida na mateso ,Tanzania imekabiliwa na majanga haya mkoa wa Mayanyara Hanang,mkoa wa Arusha
Vifoo
Chanzo :Mtandaoni
Uharibifu wa miundombinu:
Chanzo: mtandoni
Jua bado linachomoza mashariki kabla halija angukia magharibi tutokomeza adhaba zinazo kabili mazingira yeti ili tuwe na TANZANIA TUNAYOITAKA safi na Salama 2030
Hatua za Haraka zichukuliwe juu ya ubadilishaji wa matumizi ya nishati za kupikia majumbani kwa kushusha Bei ya gesi na umeme kwa 30%:
Bado idadi ya watanzania wengi vijiji na mjini wanatumia mkaa na wanatumia gesi na nishati ya umeme kama dharura hii nikutokana na garama za kujaza gesi na bei za kununua unit Moja ya umeme hali hii huchangia sana ukataji wa miti kwa ajili ya mkaa na kuni ambazo ni pigo kibwa sana kwa mazingira yetu .
Kwanini tuadhibiwe wakati muafaka upo?
Chanzo: mtandaoni
Bei umiza ambazo mtanzania wa jijini hawezi kimudu .Kupungua kwa 30% itakuwa njia sahii ya kuhifadhi misitu yetu.
Nimuda sasa Serikali kuruhusu sio tu NEMC bali Taasisi binafsi kufanya Tathmini za udhibiti wa mazingira(Control Audit):
Athari za kimazingira zimekithiri kwa kiasi kikubwa Baraza la uhifadhi na utunzaji wa Mazingora Lina hitaji mkono wa kushoto ili kuweza kuzui dalili na mipango yoyote ambayo itapelekea haya majanga kuzidi kwa kushiriana na Taasisi na wataalam binasfi wa mazingira.
Serikali iajiri wataalam wa mazingira wakutosha kuanzia ngazi ya Mkoa,wilaya,kata mtaa/vijiji:
Unapozungumzia mazingira inahusisha mahali unapolala,chakula unachokula,hewa safi unayo vuta vipi hayo yote unayotumia ikawa sumu kwako na familia Yako ,vipi mahali unapolala pakawa bwawa kutokana na maafuriko ni dhati yakuwa Tunahitaji wataalam watakao simamia sheria na kutoa elimu ya mazingira katika jamii.Hatuwezi kupambana na hasira za mazingira kwa vifaru na ndege za vita Bali Kwa kuzingatia sheria za Mazingira na utoaji wa elimu ya Mazingira.
Hii ndio TANZANIA TUITAKAYO safi na Salama 2030.

Attachments
Upvote
1