B Prosper
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,527
- 4,097
Wanajukwaa heshima kwenu.
Katika pilikapilika za kujiajiri kuna kipengele nimekwama, nahitaji tolori bora kwa ajiri ya kubebea zege, je ni wapi naweza kupata tolori imara? Maana kuna moja nilinunuaga lakini nilitumia muda mfupi na taili likamung'unyuka kama ugali wa muhogo.
Msaada wenu wakuu