Tolori yenye kichwa kigumu

Tolori yenye kichwa kigumu

B Prosper

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
2,527
Reaction score
4,097
Wanajukwaa heshima kwenu.

Katika pilikapilika za kujiajiri kuna kipengele nimekwama, nahitaji tolori bora kwa ajiri ya kubebea zege, je ni wapi naweza kupata tolori imara? Maana kuna moja nilinunuaga lakini nilitumia muda mfupi na taili likamung'unyuka kama ugali wa muhogo.

Msaada wenu wakuu
 
Nenda garage ufanye kuchonga tyre ingine. Au kuna tyre za ndege ndogo jarb kuzipata utadumu Sana
 
Nenda garage ufanye kuchonga tyre ingine. Au kuna tyre za ndege ndogo jarb kuzipata utadumu Sana
Asante mkuu, hapo kwenye kuchonga unamaanisha kuchonga tairi la chuma? Kama hili hapa
6749009c6fee0e9e.jpg
 
Nenda kwenye maduka makubwa ya vifaa vya ujenzi utapata la ubora utakaohitaji
 
Back
Top Bottom