Hata mimi nimeshangaa, Tom hawezi kuact kama Ray vivyo hivyo Ray hawezi mambo za Tom.Kabisa unamfanisha Tom Cruise na Ryan mbona content zao tofauti kabisa
Ww una mpa nani katika hiyo list yako.Ungeuliza kuhusu Tom Cruise na kati ya hawa Keanu Reeves, Jason Statham, Dwayne Johnson,will Smith, Daniel Craig
Tafadhali mtoa post.Tom Cruise Nyota wa Filamu pendwa za Mission Impossible, Top Gun, Mummy, Jack Reacher, Edge of Tomorrow
View attachment 2926456
Ryan Reynolds Nyota wa Filamu kali za Deadpool, The Adams, 6 Undergrounds, Free guy, Hitman's Bodyguard
View attachment 2926455
Je nani utampa Tittle ya "MKALI WA ACTION", Kwanini na Movie ipi unaikubali kutoka kwa mkali utayaemchagua?
View attachment 2926457
Matt Damon namkubali sana.Matt Damon mzee wa Bourne Identity