Tom Cruise VS Ryan Reynolds, Nani Utampa Tag ya "MKALI WA ACTION"

Tom cruise ni jackie chan kwa stunts ,acha kufananisha na walevi.!
 
Tom cruise ni jackie chan kwa stunts ,acha kufananisha na walevi.!
Duuuh correct me if I'm wrong, kwa uelewa wangu mdogo Jackie stunts zake Huwa anafanya mwenyewe na mara nyingi huwa kweli na pia huwa anaumia sasa kumfananisha na Tom Cruise kwenye stunts nahisi humtendei haki Jackie, Tom stunts zake nyingi ni impossible masta, sidhan kama anawezq kurisk maisha yake stunts za aina ile..
 
Mzee baba naongea ukweli ,kumbuka jamaa alishajifunza kuendesha ndege ili kufanya movie...Kumbe humjui Tom cruise kaangalie mission impossible anaperform stunt ya pikipiki ni live kabisa mission impossible ya mwisho.

Huyo ni jackie chan mpya japo alikuwa na stunt double ,ila anaperform karibia 90% ya movie zake ..Mzee ila ni mpambanaji ndio maana nimemfananisha na jackie chan.
 
Wacha kufananisha Tom Cruise na ma vitu za kijinga

Bora ungeweka Tom Cruise na Jason Statham
 
Tom Cruise ni next level aiseee.
Tizama kuanzia mission impossible zote,Top gun maverick,The edge of tomorrow na zingine nyingi.
Pia jamaa ni stunt man wa hatari bado theluthi tu amkimbize Jackie Chan.
 
Ungeuliza kuhusu Tom Cruise na kati ya hawa Keanu Reeves, Jason Statham, Dwayne Johnson,will Smith, Daniel Craig
Na kwenye hii list anayemzidi ni Keanu Reeves peke yake.
Keanu Reeves mmmh habari mpya,ile kitu ya John Wick achana nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…