Tom Cruz: Chama ndiye kaibwaga simba

Ni mchambuzi
 
Kibu denga [emoji23][emoji23]
 
AENDETU SIMBA IPO MILELE iLA YEYE ATAONDOKA
 
Si mkataba wake na Simba umekwisha jana..tarehe30/06/2024. Sasa kaibwaga vipi Simba? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Wenye akili Kama wewe hatuteseki! Tunabaki kuwashangaa hao wanaodhani Chama ndio Alpha na Omega ktk mpira. Sasa ukweli ni kwamba SSC tunaelekea kuzuri, ni muda Tu utaongea.
Bro ww ni Simba haswa ....
Safi sana
Umeandika bomba sana bila woga bila hofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…