Tom Cruz: Chama ndiye kaibwaga simba

Tom Cruz: Chama ndiye kaibwaga simba

Sijajua huyo Tom cruzeiro ni mchezaji au mchambuzi. Ila unisaidie kumuuliza aliphatic chama atacheza miaka mingapi hapo simba?kama mkataba wake umeisha akaamua kuondoka kuna ubaya?hayo mambo ya kuachana yanatoka wapi?chama sio simba. Chama ataondoka simba itabaki.
Ni mchambuzi
 
Yaani yale ma skills ya mwamba dhidi ya nkana, as vita club, fc plutnum na dhidi ya sevilla yanajirudia kichwani mwangu, hii ni fedheha kwetu mashabiki wa simba.

Rasmi kwa usajili wa mwamba na dube utoni, tayari tumekosa tena ubingwa kwa miaka mitatu tena ijayo.

Asanteni viongozi kwa kutubakishia kibu aliekua kwenye form na kupachika goli moja kisha mkashindwa kumbakisha chama alieshuka kiwango na kufunga tugoli 7 tu. Inauma ila hatuwezi chomoa.
Kibu denga [emoji23][emoji23]
 
... [emoji3541] 𝗧𝗨𝗪𝗘𝗞𝗘 𝗞𝗨𝗠𝗕𝗨𝗞𝗨𝗠𝗕𝗨 𝗦𝗔𝗪𝗔

Clatous Chama kaiacha simba SC sio kwamba Simba SC ndio imemuacha Chama.

[emoji3482] Pre-contact baina ya Chama na Yanga ilisainiwa tangu mwezi Mei na mimi niliuona huo mkataba wa awali ndio maana nilikuwa na UHAKIKA.

Simba SC baada ya kugundua kuwa Chama kasaini Pre-contract na Yanga SC wakaanza kumshawishi asaini mkataba nao.

Hali hiyo iliendelea mpaka June bila mafanikio. Mpaka jana vikao vilikuwa vinaendelea kumshawishi chama asaini mkataba Simba SC.. Muwekezaji wa Simba SC Mo Dewji alikuwa front kumshawishi bila mafanikio.

Ndio maana unaona mpaka sasa Chama hajapewa Thank You na klabu ya Simba. Viongozi wa Simba SC hawaamini kama Chama kaenda Yanga.

Chama alishafanya maamuzi mwezi mmoja nyuma, vikao vya kumshawishi abaki Simba zilikuwa kelele tu kwake.

Credit :Tom Cruz facts [emoji3447]View attachment 3030539
AENDETU SIMBA IPO MILELE iLA YEYE ATAONDOKA
 
Si mkataba wake na Simba umekwisha jana..tarehe30/06/2024. Sasa kaibwaga vipi Simba? 😀 😀 😀
 
Wenye akili Kama wewe hatuteseki! Tunabaki kuwashangaa hao wanaodhani Chama ndio Alpha na Omega ktk mpira. Sasa ukweli ni kwamba SSC tunaelekea kuzuri, ni muda Tu utaongea.
Bro ww ni Simba haswa ....
Safi sana
Umeandika bomba sana bila woga bila hofu
 
Back
Top Bottom