Tom Cruz: Chama ndiye kaibwaga simba

 
Fedheha kwako peke yako acha kutuchanganya na wengine
 
Ilikuwaje Simba hawakumpa mkataba mpaka dakika za lala salama?
 
Nenda naye yanga
Jana tuliongea kibanda umiza kuwa Chama akisaini Yanga atasepa na kijiji cha wanasimba na kuwaleta huku utopoloni kwetu.
Watoto wengi watavaa jezi ya Chama akiwa Yanga na ukiwavalisha jezi za Simba watakwambia no, nataka jezi ya uto iandikwe Chama!!
Naamini Chama atawaka tena maana ukicheza na wakali nawe unakuwa mkali zaidi yao.

Angalizo :

Viongozi wa Yanga ni next level, ni magenius, wakiachiwa kuendelea kutimiza malengo na mikakati ya timu yao kama hivi basi wanaweza kuifuta Simba kwenye ramani ya soka, sababu hivi sasa Simba iko nafasi ya tatu kisoka bongo , mwaka jana ilikuwa ya pili, hivi sasa Simba ni underdog na inacheza kombe la loosers shirikisho, na huko pia haitatoboa hata makundi na isipoamka sasa itakuja kujikuta iko ndondo cup uwanja wa Tipi manzese uzuri ikishindana na Faru dume, Abajalo na Kambi ya Fisi kombaini!!
 
Sahihi mkuu [emoji23]
 
Kwa haya mashudu uliyoandika hufai hata kwenda mirembe kujaza vyumba heri ufungwe kwenye mti na kamba maana watu wa mirembe wana akili kuliko wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…