Tom Cruz: Chama ndiye kaibwaga simba

Tom Cruz: Chama ndiye kaibwaga simba

... [emoji3541] 𝗧𝗨π—ͺπ—˜π—žπ—˜ π—žπ—¨π— π—•π—¨π—žπ—¨π— π—•π—¨ 𝗦𝗔π—ͺ𝗔

Clatous Chama kaiacha simba SC sio kwamba Simba SC ndio imemuacha Chama.

[emoji3482] Pre-contact baina ya Chama na Yanga ilisainiwa tangu mwezi Mei na mimi niliuona huo mkataba wa awali ndio maana nilikuwa na UHAKIKA.

Simba SC baada ya kugundua kuwa Chama kasaini Pre-contract na Yanga SC wakaanza kumshawishi asaini mkataba nao.

Hali hiyo iliendelea mpaka June bila mafanikio. Mpaka jana vikao vilikuwa vinaendelea kumshawishi chama asaini mkataba Simba SC.. Muwekezaji wa Simba SC Mo Dewji alikuwa front kumshawishi bila mafanikio.

Ndio maana unaona mpaka sasa Chama hajapewa Thank You na klabu ya Simba. Viongozi wa Simba SC hawaamini kama Chama kaenda Yanga.

Chama alishafanya maamuzi mwezi mmoja nyuma, vikao vya kumshawishi abaki Simba zilikuwa kelele tu kwake.

Credit :Tom Cruz facts [emoji3447]View attachment 3030539lakini bado Hajasain popote pale zaid ya huwo mkataba wa Hawali, Anataka apewe pesa zake kwanza, mpaka jana jion Alikuwa ajaingiziwa pesa zake mlizo kubaliana
 
Yaani yale ma skills ya mwamba dhidi ya nkana, as vita club, fc plutnum na dhidi ya sevilla yanajirudia kichwani mwangu, hii ni fedheha kwetu mashabiki wa simba.

Rasmi kwa usajili wa mwamba na dube utoni, tayari tumekosa tena ubingwa kwa miaka mitatu tena ijayo.

Asanteni viongozi kwa kutubakishia kibu aliekua kwenye for kupachika goli moja kisha mkashindwa kumbakisha chama alieshuka kiwango na kufunga tugoli 7 tu. Inauma ila hatuwezi chomoa.
Fedheha kwako peke yako acha kutuchanganya na wengine
 
Ilikuwaje Simba hawakumpa mkataba mpaka dakika za lala salama?
 
Nenda naye yanga
Jana tuliongea kibanda umiza kuwa Chama akisaini Yanga atasepa na kijiji cha wanasimba na kuwaleta huku utopoloni kwetu.
Watoto wengi watavaa jezi ya Chama akiwa Yanga na ukiwavalisha jezi za Simba watakwambia no, nataka jezi ya uto iandikwe Chama!!
Naamini Chama atawaka tena maana ukicheza na wakali nawe unakuwa mkali zaidi yao.

Angalizo :

Viongozi wa Yanga ni next level, ni magenius, wakiachiwa kuendelea kutimiza malengo na mikakati ya timu yao kama hivi basi wanaweza kuifuta Simba kwenye ramani ya soka, sababu hivi sasa Simba iko nafasi ya tatu kisoka bongo , mwaka jana ilikuwa ya pili, hivi sasa Simba ni underdog na inacheza kombe la loosers shirikisho, na huko pia haitatoboa hata makundi na isipoamka sasa itakuja kujikuta iko ndondo cup uwanja wa Tipi manzese uzuri ikishindana na Faru dume, Abajalo na Kambi ya Fisi kombaini!!
 
Sahihi mkuu [emoji23]
 
Kwa haya mashudu uliyoandika hufai hata kwenda mirembe kujaza vyumba heri ufungwe kwenye mti na kamba maana watu wa mirembe wana akili kuliko wewe.
 
Back
Top Bottom