Nakusoma mkuu!
Ila ni phenomenon ya ajabu sana....
Imagine umbali uliopo,walikotoka mpaka sehemu mpya waliyopo sasa!
Kumbuka zamani kulikua hakuna barabarani kama hivi,walitembea kwa miguu,kwa mtu kutembea kwa miguu kutoka say Homabay au Migori huko kanda ya ziwa Victoria mpaka Marangu Moshi Kilimanjaro ni unheard of!
Tu-assume walikua wanatembea kwa awamu,labda wanafika kijiji fulani wanaweka makao na jamii ya pale kwa miaka kadhaa then wana-move again kidogo kidogo mpaka final destination!
Huo mchakato tu kutembea na makazi hapo hapo na kuhama tena inaweza wachukua kama miaka 1,000 hivi!
Halafu imagine human mobility limitations kipindi hicho cha giza ilikuaje?
According na vitabu wanasema miaka 3000 iliyopita Kilimanjaro kulikua hakuna wenyeji,ilikua miti tu...sasa hii collection ya watu from North,South,East and West kukutana mpaka wakajenga kabila moja ni another 1000 years hivi!
Hii kitu ni very very funny!