Tom Mboya

Tom Mboya

Natoka Moshi,Uchaggani huko....

Cha ajabu I wonder how do these people from Lake Victoria ended up on the slopes of Mount Kilimanjaro?

It is very very far away!

Mfano mdogo tu huu hapa:

Ukoo wa Njau upo Uchaggani na upo Ukikuyu!

Ukoo Kimath upo Uchaggani na upo Ukikuyu!

Ukoo Mboya upo Uchaggani na upo Ujaluoni!

Ukoo Kyara upo Uchaggani na upo Taveta!

Ukoo Mworia upo Uchaggani na upo sijui Ukikuyu!

Waria upo Uchaggani na upo Wajir!

Ukoo wangu binafsi unafanana exactly na jina la ukoo mmoja from nadhani Kakamega!

Sasa unashangaa,hawa watu walikutana tu sehemu na wametoka sehemu mbalimbali halafu wanajijengea kabila lao jipya au wanafanyeje?

Na I'm sure kujenga kabila liliokamilika sidhani kama inachukua chini ya miaka 1,000!

Understanding this phenomenon is really beyond me!
Nadhani haya mambo yanakwenda sambamba na ndugu wa ukoo mmoja kuhama sehemu moja na kuhamia sehemu nyingine na kufanya makazi ya kudumu sehemu moja na kuzaliana na mwisho wa siku majina yanabaki yale yale lakini kabila taratibu linaathiriwa na wenyeji wa eneo husika
 
Nakusoma mkuu!

Ila ni phenomenon ya ajabu sana....

Imagine umbali uliopo,walikotoka mpaka sehemu mpya waliyopo sasa!

Kumbuka zamani kulikua hakuna barabarani kama hivi,walitembea kwa miguu,kwa mtu kutembea kwa miguu kutoka say Homabay au Migori huko kanda ya ziwa Victoria mpaka Marangu Moshi Kilimanjaro ni unheard of!

Tu-assume walikua wanatembea kwa awamu,labda wanafika kijiji fulani wanaweka makao na jamii ya pale kwa miaka kadhaa then wana-move again kidogo kidogo mpaka final destination!

Huo mchakato tu kutembea na makazi hapo hapo na kuhama tena inaweza wachukua kama miaka 1,000 hivi!

Halafu imagine human mobility limitations kipindi hicho cha giza ilikuaje?

According na vitabu wanasema miaka 3000 iliyopita Kilimanjaro kulikua hakuna wenyeji,ilikua miti tu...sasa hii collection ya watu from North,South,East and West kukutana mpaka wakajenga kabila moja ni another 1000 years hivi!

Hii kitu ni very very funny!
 
Natoka Moshi,Uchaggani huko....

Cha ajabu I wonder how do these people from Lake Victoria ended up on the slopes of Mount Kilimanjaro?

It is very very far away!

Mfano mdogo tu huu hapa:

Ukoo wa Njau upo Uchaggani na upo Ukikuyu!

Ukoo Kimath upo Uchaggani na upo Ukikuyu!

Ukoo Mboya upo Uchaggani na upo Ujaluoni!

Ukoo Kyara upo Uchaggani na upo Taveta!

Ukoo Mworia upo Uchaggani na upo sijui Ukikuyu!

Waria upo Uchaggani na upo Wajir!

Ukoo wangu binafsi unafanana exactly na jina la ukoo mmoja from nadhani Kakamega!

Sasa unashangaa,hawa watu walikutana tu sehemu na wametoka sehemu mbalimbali halafu wanajijengea kabila lao jipya au wanafanyeje?

Na I'm sure kujenga kabila liliokamilika sidhani kama inachukua chini ya miaka 1,000!

Understanding this phenomenon is really beyond me!
I saw kairuki na kwa kikuyu tunayo kariuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo atakuwa ni jamii moja na Wyatt Mathewson maana mipaka tu imewatenganisha yaani ukivuka Ukivuka upande wa pili panaitwa Isibania - Kenya na ukivuka upande wa pili panaitwa Sirali - Tanzania ila wanaongea lugha moja
Sio hivyo Tom mboya Kwa ni kisiwani Rusinga ndani ya ziwa Victoria hapo ndipo kabila lao linapatikana ,hapo unaposema hao ni wakuria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natoka Moshi,Uchaggani huko....

Cha ajabu I wonder how do these people from Lake Victoria ended up on the slopes of Mount Kilimanjaro?

It is very very far away!

Mfano mdogo tu huu hapa:

Ukoo wa Njau upo Uchaggani na upo Ukikuyu!

Ukoo Kimath upo Uchaggani na upo Ukikuyu!

Ukoo Mboya upo Uchaggani na upo Ujaluoni!

Ukoo Kyara upo Uchaggani na upo Taveta!

Ukoo Mworia upo Uchaggani na upo sijui Ukikuyu!

Waria upo Uchaggani na upo Wajir!

Ukoo wangu binafsi unafanana exactly na jina la ukoo mmoja from nadhani Kakamega!

Sasa unashangaa,hawa watu walikutana tu sehemu na wametoka sehemu mbalimbali halafu wanajijengea kabila lao jipya au wanafanyeje?

Na I'm sure kujenga kabila liliokamilika sidhani kama inachukua chini ya miaka 1,000!

Understanding this phenomenon is really beyond me!
Kumbe wewe una damu ya kiluhya? Ndio maana historians wanatwambia kwamba Bantu wote walitoka msitu uliopo mpaka wa Congo na Cameroon na hapo ninaamini kua ilikua familia moja kabla haijapasuka na kutawanyika afu lugha ilikua inabadilika kulingana na majirani zao wapya maani kulikuepo utohoaji wa maneno kutoka jamii zingine walizokutana nazo ,Jambo lingine linaweza likawa long distance trade pia ilichangia ,I think mworia hao ni wa embu kama sijakosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natoka Moshi,Uchaggani huko....

Cha ajabu I wonder how do these people from Lake Victoria ended up on the slopes of Mount Kilimanjaro?

It is very very far away!

Mfano mdogo tu huu hapa:

Ukoo wa Njau upo Uchaggani na upo Ukikuyu!

Ukoo Kimath upo Uchaggani na upo Ukikuyu!

Ukoo Mboya upo Uchaggani na upo Ujaluoni!

Ukoo Kyara upo Uchaggani na upo Taveta!

Ukoo Mworia upo Uchaggani na upo sijui Ukikuyu!

Waria upo Uchaggani na upo Wajir!

Ukoo wangu binafsi unafanana exactly na jina la ukoo mmoja from nadhani Kakamega!

Sasa unashangaa,hawa watu walikutana tu sehemu na wametoka sehemu mbalimbali halafu wanajijengea kabila lao jipya au wanafanyeje?

Na I'm sure kujenga kabila liliokamilika sidhani kama inachukua chini ya miaka 1,000!

Understanding this phenomenon is really beyond me!
Ni ukweli kwamba kuna kabila la wakikuyu huko Tanzania?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakusoma mkuu!

Ila ni phenomenon ya ajabu sana....

Imagine umbali uliopo,walikotoka mpaka sehemu mpya waliyopo sasa!

Kumbuka zamani kulikua hakuna barabarani kama hivi,walitembea kwa miguu,kwa mtu kutembea kwa miguu kutoka say Homabay au Migori huko kanda ya ziwa Victoria mpaka Marangu Moshi Kilimanjaro ni unheard of!

Tu-assume walikua wanatembea kwa awamu,labda wanafika kijiji fulani wanaweka makao na jamii ya pale kwa miaka kadhaa then wana-move again kidogo kidogo mpaka final destination!

Huo mchakato tu kutembea na makazi hapo hapo na kuhama tena inaweza wachukua kama miaka 1,000 hivi!

Halafu imagine human mobility limitations kipindi hicho cha giza ilikuaje?

According na vitabu wanasema miaka 3000 iliyopita Kilimanjaro kulikua hakuna wenyeji,ilikua miti tu...sasa hii collection ya watu from North,South,East and West kukutana mpaka wakajenga kabila moja ni another 1000 years hivi!

Hii kitu ni very very funny!
Ebu jiulize kua inasemekana Bantu walitoka Congo / Cameroon border walifika vipi Africa mashariki,afu vitabu zetu zinasema kua wale watu ambao waliishi wa Kwanza kabsa katika hili eneo ambalo linaitwa Kenya walikua hunters click sounds na hao ni wazulu ambao wapo Africa kusini ,sasa huko walifika vipi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio hivyo Tom mboya Kwa ni kisiwani Rusinga ndani ya ziwa Victoria hapo ndipo kabila lao linapatikana ,hapo unaposema hao ni wakuria.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ni kwa Wakurya ila zamani wilaya ya Rorya na Tarime ilikuwa ni wilaya moja ilikuwa wanaishi Wajaluo na Wakurya ila zilivyotengena, Tarime kwa kiasi kikubwa wanaishi Wakurya na Wajaluo kiasi kwa upande wa magharibi na Rorya ambayo ilikuwa sehemu ya Tarime ambayo inakwenda mpaka mwambao mwa ziwa Victoria kwa kiasi kikubwa wanaishi Wajaluo
 
Nakusoma mkuu!

Ila ni phenomenon ya ajabu sana....

Imagine umbali uliopo,walikotoka mpaka sehemu mpya waliyopo sasa!

Kumbuka zamani kulikua hakuna barabarani kama hivi,walitembea kwa miguu,kwa mtu kutembea kwa miguu kutoka say Homabay au Migori huko kanda ya ziwa Victoria mpaka Marangu Moshi Kilimanjaro ni unheard of!

Tu-assume walikua wanatembea kwa awamu,labda wanafika kijiji fulani wanaweka makao na jamii ya pale kwa miaka kadhaa then wana-move again kidogo kidogo mpaka final destination!

Huo mchakato tu kutembea na makazi hapo hapo na kuhama tena inaweza wachukua kama miaka 1,000 hivi!

Halafu imagine human mobility limitations kipindi hicho cha giza ilikuaje?

According na vitabu wanasema miaka 3000 iliyopita Kilimanjaro kulikua hakuna wenyeji,ilikua miti tu...sasa hii collection ya watu from North,South,East and West kukutana mpaka wakajenga kabila moja ni another 1000 years hivi!

Hii kitu ni very very funny!
Ni kweli mkuu, nadhani kuna haja ya kuangalia hata hizo koo kwa pande zote hali ya hewa ikoje maana wakati mwingine watu wanaweka sehemu makazi kutokana na sehemu waliyoikuta inafanana kwa namna moja ama nyingine na mkoa husika...sijakaa Kisii ila nilipata kupita tu kwa bus, ukiangalia madhari haina tofauti sana na mkoa wa Kilimanjaro hivyo nahisi hata movement yao ukute iliangalia na ulingano wa hali ya hewa
 
Back
Top Bottom