Which school did you attend in Western Kenya?
Moja ya shule zilizopo pale Mukumu Khayega za zamani! Iliyokuwa haina ubaguzi kwa kupenda kupokea WaTanzania na Waganda ile miaka ya sitini! Siyo nikutafunie kila kitu[emoji3]! Unless you have particular interest and keen to know I am willing to give(JF) you more details.