Tom Mboya

Nami nakumbuka sana siku hii. Tena ilikuwa sio miaka mingi tangu mauaji ya Gama Pinto. Bado naamini Njenga Njoroge alitumwa na Kenyatta (why don't you go after the big man?) hadi leo hii.

Nilisikia kama tetezi enzi hizo kuwa yule mtu ambaye alimuua Tom Mboya alitoroshwa nje ya Kenya kupitia Ethiopia kwa kutumia jeneza(coffin) na wala siyo Njenga!!
 
That is a show off game you're trying to play!
 
Nilisikia kama tetezi enzi hizo kuwa yule mtu ambaye alimuua Tom Mboya alitoroshwa nje ya Kenya kupitia Ethiopia kwa kutumia jeneza(coffin) na wala siyo Njenga!!
Hizo ni tetesi tu lakini Njoroge alinyongwa kama sikosei mwaka 1969.
 
Huyo mwamba alikua ni moja wa socialist mzuri sana wa kiafrika, kwa wale wasiojua hata serikali ya mwanzo ya KE ilikua imepitisha policy directive ya African socialism. Ingawaje wao walisema hawatafanya nationalisation unless it is absolutely necesary.

Mambo yalipoanza kunoga madarakani watu wakaanza kuona sera za kishoshalist zitawatia umaskini bure, solution ilikuwa ni kum-eliminate mtu amabaye ndie alikua akitetea hio policy ndani ya serikali ya KE. Baada ya kuuliwa TM hiyo policy haijawahi tena kusikika ktk public as if it has never existed...
 
Nami nakumbuka sana siku hii. Tena ilikuwa sio miaka mingi tangu mauaji ya Gama Pinto. Bado naamini Njenga Njoroge alitumwa na Kenyatta (why don't you go after the big man?) hadi leo hii.
Eish budaboss ulikuwa hai enzi hizo? [emoji15] Wah, mzae, na vile unakuwaga na umama mob? Why??? [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…