Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Utafananisha matibabu ya Zlatan na Samatta?
Zlatan mpaka sasa yuko benchi licha ya kupona.
....unacheza mpira huku ujilinde !? angefundishwa Diaby na WilshareHujanielewa mkuu, nashindwa kuelewa ktk muda mfupi wote wameumia, hii inapunguza perfomance yao uwanjani.
Nawatakia kheri ila kuanza kukaa benchi kwa kuumia goti ni km dereva asiyeona.
So wangejitahidi kucheza mpira wakijilinda zaidi sehemu hizo.
Marcelo na Casemiro wanapiga mpira mwingi timu moja pale Madridacha ushamba, kolo toure, eboue walicheza pamoja arsenal.
Hata pale Mazembe kwa kiwango chake palimfaa zaidi!huyu dogo ali force kwenda kucheza soka la kulipwa kiwango chake ni kucheza mtibwa au kagera sugar
huyu dogo ali force kwenda kucheza soka la kulipwa kiwango chake ni kucheza mtibwa au kagera sugar
JamAa naona anpenda kutembelea nyota ya samatta nafikirbkama samata asingekuepo katika maisha ya tom saiv hata mazembe asingeijua na nathani angekua kagera sukar saiv
Nyota ya kaa hii hapa, umeambiwa kafuata matibabu tuJamAa naona anpenda kutembelea nyota ya samatta nafikirbkama samata asingekuepo katika maisha ya tom saiv hata mazembe asingeijua na nathani angekua kagera sukar saiv
kigezo cha msingi kwenye nchi nyingi ni kuwa mchezaji wa timu ya Taifa kwa wachezaji wa kigeni, na yeye kigezo hicho anachoHata pale Mazembe kwa kiwango chake palimfaa zaidi!
Si kirahisi hivyoHawa madogo wote washaumia magoti, hakuna mpira hapo ulaya, wasubiri mkataba kuvunjwa warudi ligi zao jangwani.
Wamuulize Credo Mwaipopo
Achana nae anatabia za Kaa.Hamna noma labda uwe ni moja ya wale watu usiopenda wengine wakufikie kimafanikio
Alijiharibia mwenyewe kutoka Tp Mazembe waati hajui anakoelekea
Mafanikio yako kwenye maisha yako hayaletwi kwa kuwachukia waliofanikiwa bali kwa kujifunza kwa waliofanikiwa.....
Matatizo yako kwenye maisha yako hayasababishwi na waliokuzidi mafanikio bali mtazamo wako dhidi ya waliofanikiwa.....
WABARIKI WENGINE ILI NA WEWE UBARIKIWE
KUNA WATU WALIVUNJIKA KABISA MIGUU NA WAKAPONA NA WAKAENDELEA NA SOKA NA WENGINE WALIKARIBIA KUFA UWANJANI.....
Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu lakini kuyafurahia matatizo ya mwanadamu mwenzako ni zaidi ya ushetani........
MUOMBEE KHERI MWENZAKO ILI KHERI ZIJE KWAKO PIA.......
Wivu wa kikumanina huu! Yaani ni dhambi kucheza timu moja?JamAa naona anpenda kutembelea nyota ya samatta nafikirbkama samata asingekuepo katika maisha ya tom saiv hata mazembe asingeijua na nathani angekua kagera sukar saiv