Mafanikio yako kwenye maisha yako hayaletwi kwa kuwachukia waliofanikiwa bali kwa kujifunza kwa waliofanikiwa.....
Matatizo yako kwenye maisha yako hayasababishwi na waliokuzidi mafanikio bali mtazamo wako dhidi ya waliofanikiwa.....
WABARIKI WENGINE ILI NA WEWE UBARIKIWE
KUNA WATU WALIVUNJIKA KABISA MIGUU NA WAKAPONA NA WAKAENDELEA NA SOKA NA WENGINE WALIKARIBIA KUFA UWANJANI.....
Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu lakini kuyafurahia matatizo ya mwanadamu mwenzako ni zaidi ya ushetani........
MUOMBEE KHERI MWENZAKO ILI KHERI ZIJE KWAKO PIA.......