MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
ndio nini sasa ??Hahahaaa eti uzoefu wangu,.lol
au umeona mimi nachekesha ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio nini sasa ??Hahahaaa eti uzoefu wangu,.lol
Sijajua gharama zake lakini mfukoni nina laki tatu kwenye simu kuna laki mbili na sabini na saba na mia tatu sitini na mbili
he!Nenda mkuu wamepunguza bei ila uwe na kilo hata na nusu mfukon,,na usijifanye mshamba mshamba ila lazima papuch utaila tu
ha haha hahakama una mawazo ya kudaiwa kodi ya nyumba na madeni
kumbuka hayo mawazo hayatoki kwa masaji bali kwa kulipa
hiyo hela tanga unapata wake wawili wote wazuri kuliko unavyofikiriaIna maana zinatosha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndio nini sasa ??
au umeona mimi nachekesha ??
hahaha ..hiyo inatosha kabisaaa tena waweza kuhama hama room hata 3Sijajua gharama zake lakini mfukoni nina laki tatu kwenye simu kuna laki mbili na sabini na saba na mia tatu sitini na mbili
Naona unataka kupapaswa......Wakuu nimekuwa nikisikia sana kuhusu Masaji sijui Meseji ..... kiukweli sijawahi
Jua hii Kitu inakuwaje hivyo nimetinga hapa Sinza nimeambiwa huku ndo kuna
Wataalamu wa Hiyo kitu, Nakaribia Palestina hapa hebu nielekezeni Chimbo zuri
kwa hiyo masaji ni wapi?
If Possible unaweza kunitumia hata namba kwa Inbox.
Nimeambiwa masaji inaondoa uchovu wa mwili na msongo wa mawazo wacha nijaribu
nitaleta mrejesho.
muulize amekula alikotoka maana vyakula vya kwenye masaji hatare😀😀😀Kuwa na pesa tuu ya dharula,chochote chaweza tokea.
Masaji njema!!!
Mnajiwekaga kwenye risk mnoo...afu kizembe zembe sana!Wamefanyaje wanaume?
We noma iyo hela m pesa umeitaja yote kama wale wezi wa mitandaoniSijajua gharama zake lakini mfukoni nina laki tatu kwenye simu kuna laki mbili na sabini na saba na mia tatu sitini na mbili
Hi toto zuri mumuHahahaaa eti uzoefu wangu,.lol