Tomaso naingia Sinza sio kila kitu kusimuliwa tu leo nataka kufanyiwa Masaji

Nilikuwa na namba za wahudumu wa masagi Tanga, nilisha zipoteza ukipata chimbo zuri na kesho na kesho yake tena utatamani kwenda,
 
Nilikuwa na namba za wahudumu wa masagi Tanga, nilisha zipoteza ukipata chimbo zuri na kesho na kesho yake tena utatamani kwenda,
Mkuu zitafute uniwekee kwa Inbox
 
Sijajua gharama zake lakini mfukoni nina laki tatu kwenye simu kuna laki mbili na sabini na saba na mia tatu sitini na mbili
hahaha ..hiyo inatosha kabisaaa tena waweza kuhama hama room hata 3
 
Naona unataka kupapaswa......
Masaji ni kupapaswa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…