Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Nimekua nikitupia nyavu katika mitandao ya kijamii ili angalau nivue watoto wawili watatu wakuvunja nao mifupa wakati meno ingali ipo, mara nyingi nimefanikiwa mara nyingi pia nimechezea vya mbavu lakini kinachonikatishaga tamaa bila hata yakuambiwa ondoka ni pale ninapofungua picha za mchuchu nakukuta kuna picha za watoto humo ndani, hamu yote huishia hapo na mshipa wa tamaa hunywea! Mungu anisamehe na muwe na jioni njema.