Tongue Rings, Hot or Not

Heheh, eti mawifi sawa bwana, akili kubwa hizi..lol
Haya fanya hima. Hili zoezi linatakiwa lifanyiwe mazoezi ya vitendo. Sky Eclat alishakufundisha matumizi ya haka kapini pendwa....
 
Reactions: kui
Teh teh...Wanawake hamueleweki..Mtu akiwa mzembe kwenu kero..Akijituma pia kuleta mkate mezani still mnaongea..Yani huyu hapendi kazi ninayoifanya ila anaipenda pesa inayotokana na kazi hiyo
Kazi unayoifanya au unayotaka kufanya?? We hangaika tu.
 
Reactions: kui
Bora we ilikushangaza ukabaki ukiduwaa, mie ilinikimbiza!
Huyu mzee alishanishinda tabia, simuwezi.
Sema ukweli tu. Michepuko ilikukoleza ukanitosa mazima. Sasa maulana kaniletea mbadala wako kui wivu unakuzengua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…