Tongue Rings, Hot or Not

Tongue Rings, Hot or Not

Afu kui... huu mguno ulioutoa hapa sijabarikiwa. Umeniharibia mzunguko wa damu kwenye biology yangu.

God forbid

Jamani, hahaha!
Samahani sana basi, hope utarudi katika hali yako ya kawaida...lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lol, kwa hiyo ni wewe tuliye ahidiwa, au tutarajie mwengine..
Nenda ukawaambie....Mabinti wanafurahi, wajane wanafarijiwa, wanawake wanashangilia.....
 
  • Thanks
Reactions: kui
Jamani, hahaha!
Samahani sana basi, hope utarudi katika hali yako ya kawaida...lol
Wa kuirudisha ni wewe na ni wewe pekee. Wewe ndo unaweza kuifanya biology yangu iwe phyiscs ili tukifanya chemistry pamoja fumbo la muungano lifumbuliwe
 
Hahaha, kwa hiyo umetumwa kwa wanawake tu. Asee, ubarikiwe wewe uonae katika roho, na sio kwa damu na nyama.
Umebarikiwa kuliko wanawake wote JF. Kimebarikiwa na chochote kiingiacho tumboni mwako, bila kujalisha kimeingilia mlango upi.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Umebarikiwa kuliko wanawake wote JF. Kimebarikiwa na chochote kiingiacho tumboni mwako, bila kujalisha kimeingilia mlango upi.

Oh lord!, 😀😀😀

Hats off, nimesalim amri...lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom