Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwakweli, maana sio kwa kujitunza huku!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwakweli, maana sio kwa kujitunza huku!
Wala usijali, ndo wajibu wangu.Wanifurahisha na maneno yako..🙂
Nenda ukawaambie....Mabinti wanafurahi, wajane wanafarijiwa, wanawake wanashangilia.....Lol, kwa hiyo ni wewe tuliye ahidiwa, au tutarajie mwengine..
Sijui yeye ndo atatubatiza kwa moto? ?Lol, kwa hiyo ni wewe tuliye ahidiwa, au tutarajie mwengine..
Wa kuirudisha ni wewe na ni wewe pekee. Wewe ndo unaweza kuifanya biology yangu iwe phyiscs ili tukifanya chemistry pamoja fumbo la muungano lifumbuliweJamani, hahaha!
Samahani sana basi, hope utarudi katika hali yako ya kawaida...lol
Wa kuirudisha ni wewe na ni wewe pekee. Wewe ndo unaweza kuifanya biology yangu iwe phyiscs ili tukifanya chemistry pamoja fumbo la muungano lifumbuliwe
Umebarikiwa kuliko wanawake wote JF. Kimebarikiwa na chochote kiingiacho tumboni mwako, bila kujalisha kimeingilia mlango upi.Hahaha, kwa hiyo umetumwa kwa wanawake tu. Asee, ubarikiwe wewe uonae katika roho, na sio kwa damu na nyama.
Mwanamke mwenye busara hujenga nyumba yake mwenyewe...Hii homework itabidi niwaombe Heaven Sent na atoto wanisaidie, sayansi ilinishangaza mwenzio.
Basi sawa, maramana kizuri mtu hula na nduguze...Msaada si vibaya lakini, kutoka kwa wapendwa kama hao..
Mawifi hawanaga ushemeji......tena ndugu kama hawa..