Rapherl
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 3,504
- 2,256
I cant help it!Mkuu the language is too raw.😀😀😀😀
Sorry
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I cant help it!Mkuu the language is too raw.😀😀😀😀
Haha ada waichukue tu mweeeUmesamehe ada😀😀😀
Mmh nisijeanza kumwaga udenda bure😀😀😀😀😀
Si ndo udhungu!....🙂
Hahaha hamkawii kumshika mtu uchawi😀
Tuliite limbwata la kidhungu..
Yani hii swagga wewe nenda nayo tu, me ntakuwa naongea naachama mdomo kama mamba, ushamba kazi ndogo kwani[emoji125] [emoji125]Heheh!
Lakini, one thing that I think tongue rings are hot is, they give you a certain distinctive pose, when you talk.
Yani hii swagga wewe nenda nayo tu, me ntakuwa naongea naachama mdomo kama mamba, ushamba kazi ndogo kwani[emoji125] [emoji125]
Iii mazoea ndugu yangu, ntaogopa kutengua ulimi[emoji23] [emoji23]Hehehe!, eti kama mamba...lol
Sasa hii ndo inakufanya usiachie mdomo sana na kuweka vituo. Ni kama high heel ya mdomo.😀
Na hizo nazo zinaongeza utamu?
kazi kweli kweli hopefully kesho nitaiona ring yako.Unapiga pembeni mwa ring. 🙂
Mkuu una balaaaaamtu anayejua kutumia vizuri ulimi wake na hiko kipini, mbona unafika kilele cha mafanikio bila shida ina raha sanaaa hasa wanawake wa mombas.... kuna vitu unakutana navyo kwenye maisha mara moja tuuu ila unaweza msahau muumba