Tonight I'm Cleaning out My Closet

Tonight I'm Cleaning out My Closet

apana uyu amekuja kufanya confilct resolution n pc making
hajaja kwa mastress...sawa dia?

Ila mwambie awe makini......:frusty::frusty::frusty:...ama ntampelekea mungiki...
 
I wish i could do the same, but that desires
but cleaning the skeleton, needs to open to what happened

as pearl said, we need to put those women first!!
 
Nawatakia Wikiendi Njema

Leo nimekumbuka muziki wa EMINEM - And I did not mean to hurt anyone!

Wakaazi wa Tegeta-Bunju : Leo naazia MADRID na by saa sita usiku nitakuwa KingStar!

See Ya

chakula cha usiku utakula na familia au ....?
 
si ulililia sana hiyo nafasi? mpaka ukamchakachua The Finest! labda yeye angeweza

FP please! Ile nafasi bado ipo intact - hii thread has nothing to do with! And I feel member wameichukulia kuwa "Things are falling apart"!
 
FP please! Ile nafasi bado ipo intact - hii thread has nothing to do with! And I feel member wameichukulia kuwa "Things are falling apart"!

Nilihisi hivyo, lakini Dena ndo akanifanya nami niingie kwenye group la watu wanaofikiria things are falling apart baada ya kujibu kuwa amekusamehe.
 
Back
Top Bottom