Tontoh dikeh: Mume wangu aliniambukiza sana magonjwa ya zinaa.

Tontoh dikeh: Mume wangu aliniambukiza sana magonjwa ya zinaa.

Attachments

  • Screenshot_20170226-065351.png
    Screenshot_20170226-065351.png
    149.6 KB · Views: 34
Na alimwambia mume wake shoga ila baadae akakanusha kuwa ilikua ni hasira, huyu tontoh namfananisha na gigy money wema tu yeye ni first class
Namfananisha na makondakonda wa dar
 
Wajina wako Genevieve ndo Ana gungu, hana mume wala mtoto na anazidi kuzeeka
Genevieve ana mtoto mmoja wa kike sasa hivi yuko chuo..

Alipewaga mimba utotoni

Sijui kwanini hakuolewa na D'banj yule kaka alikolea sana!
 
kumbe hata Nigeria wapo.Nilidhani wanawake wa bongo tu
 
Wajina wako Genevieve ndo Ana gungu, hana mume wala mtoto na anazidi kuzeeka

Ana mtoto mkubwa tu mbona tena yuko kwenye umri wa balehe alizalishwa na ticha wakati bado anasoma.

Sema nilimuona mseeenge pale aliposema eti ana miaka zaidi ya 10 hajaingiliwa na mwanaume na wakati alikuwa ana date na dbanji.
 
Back
Top Bottom