Tony Atlas kutoka kuwa mcheza mieleka maarufu duniani na kufilisika hadi kukosa sehemu ya kulala

Tony Atlas kutoka kuwa mcheza mieleka maarufu duniani na kufilisika hadi kukosa sehemu ya kulala

Aliyemwangusha ni Mwanamke wa kwanza japo ilipigwa pasu kwa pasu, aliyemwangusha wa pili ni mwanaume aliyemtapeli, huyu halaumiwi hata kidogo na aliyemuinua Tena ni Mwanamke naye huyu hapewi sifa zake hata kidogo, Bali anayelaumiwa ni huyo wa pasu kwa pasu si sawa. Wanawake ni wazur na ni wabaya kama wanaume pia Kuna wazur na wabaya, take care
 
Pombe hazifilisi ila zinashawishi ngono (wanawake) kwahiyo hapo sababu ya kufilisika itabaki ni wanawake tu.
Pombe ikizidi inaondoa self control, mlevi hufanya maamuzi ya hovyo, pombe huanika siri, pombe ni gharama.
 
Back
Top Bottom