Aliyemwangusha ni Mwanamke wa kwanza japo ilipigwa pasu kwa pasu, aliyemwangusha wa pili ni mwanaume aliyemtapeli, huyu halaumiwi hata kidogo na aliyemuinua Tena ni Mwanamke naye huyu hapewi sifa zake hata kidogo, Bali anayelaumiwa ni huyo wa pasu kwa pasu si sawa. Wanawake ni wazur na ni wabaya kama wanaume pia Kuna wazur na wabaya, take care