Too good for me???

hapo sasa??? sijui kwanini natamanigi ningeweza kuwa kama maid hivi ila ndo hata siwezi,naonaga kama inaongeza mapenzi...l.o.l

sio mapenzi
yanaitwa mahaba....
huwa inapendeza kama mwanamke ni mtu mzima hivi
yaani amemzidi mwanaume umri halafu awe anapokea order like that..
au mwanamke tajiri kuliko mumewe au mwenye
nguvu na mwili mkubwa kuliko mumewe....
inaongeza mahaba mno....
it cares the man's ego....
 
Michelle, wala usijali my dear......I can understand now ur point of view BUT...

well well.....then am a bit different Michelle, issue ni kwamba hapo juu umeipresent kama mfano wa makosa...ambayo yanaweza kumscare away mwanaume, and am like....no, having a kid haiwezi kuwa kosa (literally) my dear, and am sure u know it.

Nikwambie kitu mpenzi, kama mtu kakupenda kiukweli, hiyo haiwezi kuwa issue ya kufanya mambo yaendelee. Sema jamii ndo imetukuza katika mazingira hayo ila ukijiweka nafasi ya mtoto, ambaye anaonekana ndiye anakufanya uonekana kama hufai, inasound kidogo sio nzuri,
 
ha ha ha haaaaaaaaaaaa nimeukumbuka ule wimbo my dear....una kumbukumbu kweli Mamzalendo....thank you lots!
 
kumbe wakali tupo,sasa nataka kujua,waga unajisikia vibaya,kuona kama vile unamuonea au lah?
inategemea kuna kosa gani,kuna baadhi ya makosa,kama mimi ni mkosaji,ni rahisi kuomba msamaha.kwenye suala la uonevu,sihisi hivyo kwani kila mtu huwa ana makosa yake
 
binafsi hakuna mwanamke ambae ni too good foe me

but wanawake wanyonge siwapendi

napenda wale ambao wanafanya mambo kwa utashi wao

Kwa hiyo for them, you are too good for them. You deserve better than what you're getting from them
 
Wow,nimeipenda hiyo ya ''just be reasonable,sio unarauka rauka tu,japo huo ni msamiati kwangu ila nafikiri nimepata maana....its good to learn from you,that its normal, and i deserve the best....!!

I like your principle,FORGET THE PAST,the most difficult part of me....!!!
 
Yote uliyoyaandika yaweza kuwa sababu,nakubaliana na hapo PINK,nimeona hili kwa couple nyingi....so it might be true,the opposite attract!
Many thanks EMT,will seek pyschological advice!!
 
Mimi ni ngumi mkononi, karibu tuishi. Ila hakuna kwenda polisi!
 
The Boss and your ''ego''......kweli watu wana fantasy za ajabu....umenichekesha sana,sidhani kama kuna raha kwa mpokea order,nafikiri anayetoa order ndo mwenye raha....n this is selfish:dance::dance:
 
Bora tu umenielewa,manake mtima wangu ulishtuka mpenzi!! Leo nimepewa ushauri hadi naona mwisho wa hofu umefika....:dance::dance:
 
The Boss and your ''ego''......kweli watu wana fantasy za ajabu....umenichekesha sana,sidhani kama kuna raha kwa mpokea order,nafikiri anayetoa order ndo mwenye raha....n this is selfish:dance::dance:

sio fantassy
nakuambia ukweli mtupu
kama umesikia wanawake wa mombasa basi ndo zao hizo
anakuwa na kidume umri wa mwanae na anakihonga na kupokea order juu
ndo maana mwanamke wa mombasa akimnyang'anya mtu mume
wengi huishia kulia tu lol
 
Mimi ni ngumi mkononi, karibu tuishi. Ila hakuna kwenda polisi!

shukrani sana...hapo itabidi niwe na bunduki yangu au rungu,manake ipo siku utanimalizia mbali kwa ngumi zako!!
 
sio fantassy
nakuambia ukweli mtupu
kama umesikia wanawake wa mombasa basi ndo zao hizo
anakuwa na kidume umri wa mwanae na anakihonga na kupokea order juu
ndo maana mwanamke wa mombasa akimnyang'anya mtu mume
wengi huishia kulia tu lol

Mombasa kuna mengi....itabidi nikajifunze kutunza mume huko...l.o.l....ila nafikiri si kila mwanaume anapenda type ya hao wanawake wa Mombasa,it all depends na mwaname anachokipenda!!
 
Lala nje....nivue nguo...zaa mtoto wa tano...NDIO MZEE.....sijui wanaume wanajisikiaje kuwa na wanawake kama hawa??? najua wapo wanaopenda na wasiopenda......:grouphug:

Wengine wanafurahia maana wanawasukuma kama mikokoteni na hawalalamiki hata siku moja....kina boss hapo ndo naona hawataki sampuli hii.
 
Mombasa kuna mengi....itabidi nikajifunze kutunza mume huko...l.o.l....ila nafikiri si kila mwanaume anapenda type ya hao wanawake wa Mombasa,it all depends na mwaname anachokipenda!!

nenda kajifunze
but kuna mengine yale lol
usithubutu lol
 
Michelle darling nimezungumzia kurauka kwa maana ya kuwa usiwe unamuwakia wakia tu bila sababu. Unajua ukianza kujiona hum'deserve' mpenzi wako unawezajikuta unaishi maisha artificial sana........utaanza kuogopa kumuudhi, kumwambia pale anapokosea n.k hali ambao haitakusaidia kukujengea strong relationship na badala yake unabomoa .............
 
Mabint bwana uwe mpole shida uwe mkali shida,mnataka nini?Mnanikumbusha niliwahi kuleta thread hapa ikieleza kuwa mabint hawajui wanachohitaji mkanizodoa,matokeo yake ukweli mnauweja hadharani wenyewe!
 
Wengine wanafurahia maana wanawasukuma kama mikokoteni na hawalalamiki hata siku moja....kina boss hapo ndo naona hawataki sampuli hii.
Dearest,huyo the Boss haeleweki anapenda sampuli ipi....soma comment yake ya wanawake wa mombasa....em isome halafu tupange....l.o.l
 
Wengine wanafurahia maana wanawasukuma kama mikokoteni na hawalalamiki hata siku moja....kina boss hapo ndo naona hawataki sampuli hii.

maisha yana leo na kesho..
unahitaji mwanamke ambae hata bahati mbaya
unaugua au umekufa au umefungwa
anaweza kuwa in charge wa familly na familly bizness
umeonaa eh??????
 
nenda kajifunze
but kuna mengine yale lol
usithubutu lol

itabidi nijiifunze yote,manake siwezi jua yapi atayapenda mume wangu...yapi hatayapenda....lolest...GOD FORBID!!:dance::dance:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…