Too good for me???

Too good for me???

hapo sasa??? sijui kwanini natamanigi ningeweza kuwa kama maid hivi ila ndo hata siwezi,naonaga kama inaongeza mapenzi...l.o.l

sio mapenzi
yanaitwa mahaba....
huwa inapendeza kama mwanamke ni mtu mzima hivi
yaani amemzidi mwanaume umri halafu awe anapokea order like that..
au mwanamke tajiri kuliko mumewe au mwenye
nguvu na mwili mkubwa kuliko mumewe....
inaongeza mahaba mno....
it cares the man's ego....
 
Kaizer,hujanielewa....nafahamu kabisa mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu,ila naomba nikuhakikishie wapo wanaume pindi wanapoambiwa nina mtoto/watoto,uhusiano ndo umeikia mwisho,utasikia siwezi kulea mtoto wa mwanamme mwenzangu,siwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto,familia yangu itanionaje sijui nini???? nilichomaanisha ni kuwa vitu ambavyo ni sihu kubwa kwa baadhi ya wanaume,unakutana na mtu ambaye hajali kabisa,na si tatizo kwake.....nisamehe kama nimeku-dissapoint!!!

Michelle, wala usijali my dear......I can understand now ur point of view BUT...

well well.....then am a bit different Michelle, issue ni kwamba hapo juu umeipresent kama mfano wa makosa...ambayo yanaweza kumscare away mwanaume, and am like....no, having a kid haiwezi kuwa kosa (literally) my dear, and am sure u know it.

Nikwambie kitu mpenzi, kama mtu kakupenda kiukweli, hiyo haiwezi kuwa issue ya kufanya mambo yaendelee. Sema jamii ndo imetukuza katika mazingira hayo ila ukijiweka nafasi ya mtoto, ambaye anaonekana ndiye anakufanya uonekana kama hufai, inasound kidogo sio nzuri,
 
Inawezekana kabisa kakupendea ukali wako na the way ur tough kwa sababu anajua mpaka ulipofika umekutana na mafunzo mengi,na sa nyingine wanaume wengine wanahitaji tough women na wanajijua so dont wory n one thing i believe the right person is the one that loves you just we way u a,unakumbuka ule wimbo wa dudu baya nakupenda 2 vile ulivyo nakupenda 2 ha ha ha,change wea necessary n wea he says so otherwise ur just perfect 4 hm,

ha ha ha haaaaaaaaaaaa nimeukumbuka ule wimbo my dear....una kumbukumbu kweli Mamzalendo....thank you lots!
 
kumbe wakali tupo,sasa nataka kujua,waga unajisikia vibaya,kuona kama vile unamuonea au lah?
inategemea kuna kosa gani,kuna baadhi ya makosa,kama mimi ni mkosaji,ni rahisi kuomba msamaha.kwenye suala la uonevu,sihisi hivyo kwani kila mtu huwa ana makosa yake
 
binafsi hakuna mwanamke ambae ni too good foe me

but wanawake wanyonge siwapendi

napenda wale ambao wanafanya mambo kwa utashi wao

Kwa hiyo for them, you are too good for them. You deserve better than what you're getting from them
 
Baby its normal ne who you are but just be reasonably.......... sio unarauka rauka tu bila sababu.
Na hayo mawazo ya May be I dont deserve him/her kwa sababu ya your past history, mistakes sijui nini yafute life with him/her starts from the day you two met................... You deserve him/her ndo mana mko pamoja so handle him/her very carefully. Forget your past.........at least that is my principle.

Wow,nimeipenda hiyo ya ''just be reasonable,sio unarauka rauka tu,japo huo ni msamiati kwangu ila nafikiri nimepata maana....its good to learn from you,that its normal, and i deserve the best....!!

I like your principle,FORGET THE PAST,the most difficult part of me....!!!
 
Kama nimekuelewa, personally, sijakumbana na hili lakini naamini lipo. Wapo watu ambao wanaamini kabisa kuwa partners wao deserver better than what they are getting from them. Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha hili kutokea. Umezitaja baadhi ya sababu. Pia nafikiri depression or lack of self esteem vinasababisha sana kutokea kwa hali hii. Wakati huo unakuta mwenzie hamind kabisa, but the other party still thinks their partner deserve someone better than him/her. Mara nyingi nafikiri hii inatokana na lack of self esteem inayosababishwa na sababu mbalimbali. Halafu hili tatizo halitokea tuu kwenye mahusiano ya kimapenzi. Linatatokea pia kwenye mahusiano ya kawaida na hata hata makazini ambapo unakuta mfanyakazi anaamini kuwa s/he is not good enough.

Wataalamu wanasema kuwa kitendo cha kuamini partner wako deserve better than what is getting from you ni moja ya symptoms za depression. Wanasema depression ni root cause ya mtu kufikiria that s/he is not good enough. Mara nyingi watu wenye depression wana tabia ya kufikiria kuwa they are not good enough to deserve something that they consider great. Lakini pia kuna watu ambao wako safi tuu lakini kwa sababu za insecurity or complex inferiority wanaona kuwa their partner deserve someone who is better than them.

Having said, wako watu ambao wako fit kabisa and still think that they are not good enough. If you feel like you're not good enough it is absolutely not true. Don't think your not good enough. Just be better. Pia kumbuka normally the opposites attract. Inawezekana labda watu wameishia kuwa mume na mke because they are too different people.

Yote uliyoyaandika yaweza kuwa sababu,nakubaliana na hapo PINK,nimeona hili kwa couple nyingi....so it might be true,the opposite attract!
Many thanks EMT,will seek pyschological advice!!
 
Habari zenu wana MMU?

Mwenzenu nina changamoto nahitaji kujua kama nanyi pia mna/mmekutana nalo katika maisha ya urafiki na uhusiano na je mlitatua vipi? ili na mimi niweze kujiona sawa!!!

Hivi imewahi kukutokea umekutana na mtu akakupenda na wewe umempenda ila unaona kama hustahili kuwa nae? yaani kwa jinsi alivyo,unajisikia vibaya kuwa nae? kutokana na tabia,historia,mwenendo,mistakes ambazo umewahi kufanya,yaani unaona,i don't deserve this guy/girl....he is just too good for me!!!

Mimi kweli nikipata mwanaume mpole na mnyenyekevu napata shida sana,manake unaweza chukia ukamjibu vibaya yeye yuko tu anakuangalia na baadaye anakuweka chini kwa upole anakueleza tatizo......waga kinaniuma sana,to the extent nafikiri maybe i deserve mtu mkali na mkorofi kidogo.....au mwingine,anakusamehe ukikosea na anakuelewa mpaka unaona,this is too good to be true...na wale ambao unamwambia makosa ambayo unafikiri yatamfanya akukimbie (kama kuwa na mtoto) lakini bado tu yeye anakupenda.....!!!

Nitafurahi kusikia mawazo yenu!

Mimi ni ngumi mkononi, karibu tuishi. Ila hakuna kwenda polisi!
 
sio mapenzi
yanaitwa mahaba....
huwa inapendeza kama mwanamke ni mtu mzima hivi
yaani amemzidi mwanaume umri halafu awe anapokea order like that..
au mwanamke tajiri kuliko mumewe au mwenye
nguvu na mwili mkubwa kuliko mumewe....
inaongeza mahaba mno....
it cares the man's ego....

The Boss and your ''ego''......kweli watu wana fantasy za ajabu....umenichekesha sana,sidhani kama kuna raha kwa mpokea order,nafikiri anayetoa order ndo mwenye raha....n this is selfish:dance::dance:
 
Michelle, wala usijali my dear......I can understand now ur point of view BUT...

well well.....then am a bit different Michelle, issue ni kwamba hapo juu umeipresent kama mfano wa makosa...ambayo yanaweza kumscare away mwanaume, and am like....no, having a kid haiwezi kuwa kosa (literally) my dear, and am sure u know it.

Nikwambie kitu mpenzi, kama mtu kakupenda kiukweli, hiyo haiwezi kuwa issue ya kufanya mambo yaendelee. Sema jamii ndo imetukuza katika mazingira hayo ila ukijiweka nafasi ya mtoto, ambaye anaonekana ndiye anakufanya uonekana kama hufai, inasound kidogo sio nzuri,
Bora tu umenielewa,manake mtima wangu ulishtuka mpenzi!! Leo nimepewa ushauri hadi naona mwisho wa hofu umefika....:dance::dance:
 
The Boss and your ''ego''......kweli watu wana fantasy za ajabu....umenichekesha sana,sidhani kama kuna raha kwa mpokea order,nafikiri anayetoa order ndo mwenye raha....n this is selfish:dance::dance:

sio fantassy
nakuambia ukweli mtupu
kama umesikia wanawake wa mombasa basi ndo zao hizo
anakuwa na kidume umri wa mwanae na anakihonga na kupokea order juu
ndo maana mwanamke wa mombasa akimnyang'anya mtu mume
wengi huishia kulia tu lol
 
Mimi ni ngumi mkononi, karibu tuishi. Ila hakuna kwenda polisi!

shukrani sana...hapo itabidi niwe na bunduki yangu au rungu,manake ipo siku utanimalizia mbali kwa ngumi zako!!
 
sio fantassy
nakuambia ukweli mtupu
kama umesikia wanawake wa mombasa basi ndo zao hizo
anakuwa na kidume umri wa mwanae na anakihonga na kupokea order juu
ndo maana mwanamke wa mombasa akimnyang'anya mtu mume
wengi huishia kulia tu lol

Mombasa kuna mengi....itabidi nikajifunze kutunza mume huko...l.o.l....ila nafikiri si kila mwanaume anapenda type ya hao wanawake wa Mombasa,it all depends na mwaname anachokipenda!!
 
Lala nje....nivue nguo...zaa mtoto wa tano...NDIO MZEE.....sijui wanaume wanajisikiaje kuwa na wanawake kama hawa??? najua wapo wanaopenda na wasiopenda......:grouphug:

Wengine wanafurahia maana wanawasukuma kama mikokoteni na hawalalamiki hata siku moja....kina boss hapo ndo naona hawataki sampuli hii.
 
Mombasa kuna mengi....itabidi nikajifunze kutunza mume huko...l.o.l....ila nafikiri si kila mwanaume anapenda type ya hao wanawake wa Mombasa,it all depends na mwaname anachokipenda!!

nenda kajifunze
but kuna mengine yale lol
usithubutu lol
 
Michelle darling nimezungumzia kurauka kwa maana ya kuwa usiwe unamuwakia wakia tu bila sababu. Unajua ukianza kujiona hum'deserve' mpenzi wako unawezajikuta unaishi maisha artificial sana........utaanza kuogopa kumuudhi, kumwambia pale anapokosea n.k hali ambao haitakusaidia kukujengea strong relationship na badala yake unabomoa .............
 
Mabint bwana uwe mpole shida uwe mkali shida,mnataka nini?Mnanikumbusha niliwahi kuleta thread hapa ikieleza kuwa mabint hawajui wanachohitaji mkanizodoa,matokeo yake ukweli mnauweja hadharani wenyewe!
 
Wengine wanafurahia maana wanawasukuma kama mikokoteni na hawalalamiki hata siku moja....kina boss hapo ndo naona hawataki sampuli hii.
Dearest,huyo the Boss haeleweki anapenda sampuli ipi....soma comment yake ya wanawake wa mombasa....em isome halafu tupange....l.o.l
 
Wengine wanafurahia maana wanawasukuma kama mikokoteni na hawalalamiki hata siku moja....kina boss hapo ndo naona hawataki sampuli hii.

maisha yana leo na kesho..
unahitaji mwanamke ambae hata bahati mbaya
unaugua au umekufa au umefungwa
anaweza kuwa in charge wa familly na familly bizness
umeonaa eh??????
 
nenda kajifunze
but kuna mengine yale lol
usithubutu lol

itabidi nijiifunze yote,manake siwezi jua yapi atayapenda mume wangu...yapi hatayapenda....lolest...GOD FORBID!!:dance::dance:
 
Back
Top Bottom