Too good for me???

Dearest,huyo the Boss haeleweki anapenda sampuli ipi....soma comment yake ya wanawake wa mombasa....em isome halafu tupange....l.o.l
Boss anadai anataka mwanamke ngangari na sio mlaini kama konokono ukimmwagia chumvi tu anayeyuka bila ubishi!!
 
maisha yana leo na kesho..
unahitaji mwanamke ambae hata bahati mbaya
unaugua au umekufa au umefungwa
anaweza kuwa in charge wa familly na familly bizness
umeonaa eh??????

Nimeona tajiri...hata ikibidi awe anajua kuzichapa ukileta ujinga anakukung‘uta kisawasawa!!
 
itabidi nijiifunze yote,manake siwezi jua yapi atayapenda mume wangu...yapi hatayapenda....lolest...GOD FORBID!!:dance::dance:

ukishahitimu
nitafute nione kama unayaweza lol
 

Hiyo ni kweli kabisa my dearest sisy,kuna wakati najua kabisa naigiza na sisemi kile ninachotamani kusema ili tu kuepuka kuonekana mkorofi!!
 
Mabint bwana uwe mpole shida uwe mkali shida,mnataka nini?Mnanikumbusha niliwahi kuleta thread hapa ikieleza kuwa mabint hawajui wanachohitaji mkanizodoa,matokeo yake ukweli mnauweja hadharani wenyewe!

Yamekuwa hayo????nataka mpole,ila sipendi nione kama namuonea....:biggrin1:
 
Nimeona tajiri...hata ikibidi awe anajua kuzichapa ukileta ujinga anakukung‘uta kisawasawa!!

sasa hii itashusha EGO yake na kama unavyojua,ni priority kwake!!!
 
all women want a leader in their men

Nakubaliana na wewe,ila navyoona siku zinavyokwenda wanaume wanapungukiwa hili,nguvu na uwezo wa kuongoza na wanawake wanachukua nafasi!!:grouphug:
 


mnh, Michelle bana.
aaah,...haya ngoja nikalale mie.

Hizi mada za usiku usiku mtu waweza ota vibaya bureee
 
mnh, Michelle bana.
aaah,...haya ngoja nikalale mie.

Hizi mada za usiku usiku mtu waweza ota vibaya bureee

mmmhhh kweli,ngoja na mimi nifuate.....ukiamka utueleze tu Mbu,hakuna neno....!!!
 
Reactions: Mbu
Your ego will not allow you to confess that...i knew it,i will ask her...!!

u see how better u understand me???
ha ha haaaaaaaaaaaa

i got a big ego
and i can back it up lol
 
shukrani sana...hapo itabidi niwe na bunduki yangu au rungu,manake ipo siku utanimalizia mbali kwa ngumi zako!!

Ngumi zangu ni nyepesi usoni (japo utaumia lakini si sana - nitaumizaje wa ubani halafu kesho nilazimike kutoa pesa kumpeleka hospitali?) SIO KAMA YALE MAWE YA TARIME! Kwa hiyo usihofu - no need of "binduki!
 
u see how better u understand me???
ha ha haaaaaaaaaaaa

i got a big ego
and i can back it up lol

I can see that....i wish i could get something out of understanding yo better.....l.o.l
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…