Ngumi zangu ni nyepesi usoni (japo utaumia lakini si sana - nitaumizaje wa ubani halafu kesho nilazimike kutoa pesa kumpeleka hospitali?) SIO KAMA YALE MAWE YA TARIME! Kwa hiyo usihofu - no need of "binduki!
I can see that....i wish i could get something out of understanding yo better.....l.o.l
una akili sana,nimependa hapo pink.....nitakuja kama nilivyo,hizo ngumi za usoni zinavumilika kabisaaa!!!
Nyie wanaume hapa JF, SOMENI KWA MAKINI hapo kwenye RED. Sasa nisikie/nione mtu anajipendekeza kwa Michelle WANGU aone cha mtemakuni! Nitanyoa mtu kavu kavu bila maji.
Kuwa mpole wangu,hata wewe wapo watakaopjipendekeza kwako nikiona kabisaaa.....sisi tukishaamua hakuna la kututenganisha!!!usiku mwema!!
Wanameeeremeta...waaanameremeta.Dearest na MS wanameremeta wanameremeta.We we wee! Ajipendekeze mtu kwangu wakati nimeshabinafsishwa?! Usiku mwema na kwako pia wangu.
Kama kuna mtu atanionea Michelle leo:
Naomba amwambie babu anammisi sana, na anasikitika na kumuuliza kwanini ananipotezea namna hii?
Babu anarudi kitandani kusikitika.
Kama kuna mtu anayeniacha nikitabasamu kila baada ya kusoma post zake ni wewe............Hivi kwa nini hukuwa comedian Babu?......Eti Babu anarudi kitandani kusikitika
Habari zenu wana MMU?
Mwenzenu nina changamoto nahitaji kujua kama nanyi pia mna/mmekutana nalo katika maisha ya urafiki na uhusiano na je mlitatua vipi? ili na mimi niweze kujiona sawa!!!
Hivi imewahi kukutokea umekutana na mtu akakupenda na wewe umempenda ila unaona kama hustahili kuwa nae? yaani kwa jinsi alivyo,unajisikia vibaya kuwa nae? kutokana na tabia,historia,mwenendo,mistakes ambazo umewahi kufanya,yaani unaona,i don't deserve this guy/girl....he is just too good for me!!!
Mimi kweli nikipata mwanaume mpole na mnyenyekevu napata shida sana,manake unaweza chukia ukamjibu vibaya yeye yuko tu anakuangalia na baadaye anakuweka chini kwa upole anakueleza tatizo......waga kinaniuma sana,to the extent nafikiri maybe i deserve mtu mkali na mkorofi kidogo.....au mwingine,anakusamehe ukikosea na anakuelewa mpaka unaona,this is too good to be true...na wale ambao unamwambia makosa ambayo unafikiri yatamfanya akukimbie (kama kuwa na mtoto) lakini bado tu yeye anakupenda.....!!!
Nitafurahi kusikia mawazo yenu!
Haya nifungulie mlangoHalafu na wewe mjukuu mtiifu, kila siku mpaka nikukumbushe kunikata kucha za miguuni? Hizi za mikononi nshazikata mwenyewe kwa meno.
Hebu njoo huku kitandani un'kate kucha bwana. Kabla sijatema mate chini.
Haya nifungulie mlango
Too good for me & too bad for me vyote vimewahi kunitokea mpendwa.
Wale ambao ni too good huwa nawafanya wanakuwa marafiki wa kawaida tu, too bad nawapotezea.
Mlango wa gunia hauna kitasa............... signecha hiyo nimekupa LOL