Too good for me & too bad for me vyote vimewahi kunitokea mpendwa.
Wale ambao ni too good huwa nawafanya wanakuwa marafiki wa kawaida tu, too bad nawapotezea.
Kama kuna mtu atanionea Michelle leo:
Naomba amwambie babu anammisi sana, na anasikitika na kumuuliza kwanini ananipotezea namna hii?
Babu anarudi kitandani kusikitika.
Kama kuna mtu atanionea Michelle leo:
Naomba amwambie babu anammisi sana, na anasikitika na kumuuliza kwanini ananipotezea namna hii?
Babu anarudi kitandani kusikitika.
Mhhh!!! Are you already trapped in that love closet:biggrin1:my brother,nothing much....can you guess????
...Michelle hapa ndio kumekucha sasa, ngoja nijaribu tena kujibu.
Hali hii naamini inatokana ukomavu wa maamuzi yako.
Raising the bar (level)...
Ni sawa na kiwango cha ubora.
Iwapo utakwenda dukani, Una choices kati ya bidhaa ya mchina yenye Guarantee ya mwaka mmoja
na bidhaa ya Muingereza yenye Guarantee ya miaka mitano. Ukaona 'aah...acha nipige bajeti hapa ninunue hii mchina,!' Ujue kiwango cha ubora ushapunguza hapo.
Kwenye maisha ya Mapenzi, inafikia kipindi ni bora uende kwenye level ambayo unajua utahitajika kufanya kazi ya ziada kuliimarisha pendo na maisha. Ubora na thamani vinaendana sambamba.
Raise the bar!!!
mpoleeeeeee huwa ni noma akikasirika
Nilifikiri nimekutana na mpole, nikawa navutana naye kwenye mivao flaniflani asiyoitaka na mimi ndio kwanza naizimia.
Akanikuta mjini akanipakia mpaka kwake (njiani tulipitia shop tukanunua nguo) nikachukulia poa.
Tulipofika tu chumbani akaniambia nifute madirisha na kudeki barazani akaniambia nibadilishe nguo ili niliyovaa isichafuke.Wakati naendelea kufuta akanimbia badilisha tambara akanipa ile nguo niliyovua.Nikazubaa akaitupa kwenye maji,nikamjia juu gafla nikaambulia kibao, tena kibao nikalazimika kudekia nguo yangu kipenzi.
From that day mdada akiniambia ana mwanaume mpole huwa nakumbuka hii picha. Jamani wapole wana mipaka yao ukivuka itaipatapata.
My dear michelle,most of us guys mara nyingi hatujali makosa uliyotenda huko nyuma.tunaelewa kuwa binadamu lazima atende kosa ili ajifunze kwahiyo ondoa wasiwasi ila ishu inakuja mtu anapokuwa na upendo mwingi na upole,mwenza wake anaharibu kwa kuleta dharau na kiburi.muheshimu,kuwa mwaminifu and never hurt him.sisi ambao ni bad boys zamani tulikuwa kama huyo jamaa yako ila wapenzi wetu walitudharau wakatutenda ndo maana we are now badboys
Wishing you all the best, by the way don't forget to bring him home so that at least i can certify him:biggrin1:Not really trapped....so soon???:dance::dance:
Ni kweli kabisa, Inapofikia mahusiano kati ya mwanamke mwenye mtoto na mwanaume asiye baba ya mtoto inataka maelewano ya hali ya juu toka mwanzo,Ukikutana na mtu asiyeonyesha kujali lazima uwe na maswali mengi, hii ni sawa kwa mtu yoyote, Manake lazima utake kujua muendelezo wa mahusiano kati yako na huyo mtu, pia kati ya mtoto na huyo mtu lakini pia feeling zake kwa mahusiano yako na Baba wa Mtoto,Kaizer,hujanielewa....nafahamu kabisa mtoto ni zawadi kutoka kwa Mungu,ila naomba nikuhakikishie wapo wanaume pindi wanapoambiwa nina mtoto/watoto,uhusiano ndo umeikia mwisho,utasikia siwezi kulea mtoto wa mwanamme mwenzangu,siwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto,familia yangu itanionaje sijui nini???? nilichomaanisha ni kuwa vitu ambavyo ni sihu kubwa kwa baadhi ya wanaume,unakutana na mtu ambaye hajali kabisa,na si tatizo kwake.....nisamehe kama nimeku-dissapoint!!!
Kimeumana.......:biggrin1::biggrin1:Homie hapo inakuwaje unakataa kona unakubali penati? LOL
Michelle mjukuu wako anakumiss pia sana,naye anajiuliza kwanini Babu anampotezea namna hiyo,ni kwa lile kosa moja tu????
Michelle hapendi babu asikitike,hivyo anakuja kuzungumza na Babu na kumpa pole kwa masikitiko yote aliyomletea.....:A S-rose:
Thats my favorite kajukuu on earth.
Babu hajampotezea Michelle wake,
Babu ameshamsamehe Michelle wake,
Babu anampenda sana Michelle wake
Babu anamkaribisha Michelle wake kwakuwa: Michelle alimwambia " I understand that God did not put in me the ability to always make right decisions.He did,however put in me the ability to make a decision and then make it right.My mind will live in the solution of the future"
Nashukuru sana Babu kwakuwa una hekima na ni muelewa,
am so happy kuwa Babu's favourite.....ngoja waje wajukuu wengine....:grouphug:
Michelle amekaribia na anampenda Babu zaidi na zaidi.....!!