Too good for me???

Asante kwa mfano mzuri,nafikiri walifanya la maana kuhakikishiana na kubadilisha majina....now,thats true love!!!!atleast huyo aliuliza details na kutaka kujua kama kutakuwa na muendelezo wa mahusiano kati yao....ila mtu asipouliza unamuona tu anapenda mtoto/watoto ndo inaleta kujiuliza is this real?
 
Usisahau kuniletea ugoro na mkongojo....ule wa kichina ulonletea umepinda.....babu ataanguka.

Babu ule mkongojo niliununua UK kwa carpenter kabisa wa kiingereza na nilisimamia ukichongwa....nahisi kuna mtu alikuibia akakubadilishia...
anything for you,nakuagizia mwingine wenye alarm,akigusa mtu mwingine anaungua mkono.....l.o.l....ugoro napita kariakoo nakuletea.....!!!
 
Wishing you all the best, by the way don't forget to bring him home so that at least i can certify him:biggrin1:

I will bring two (good boy&Bad boy) and you certify one....thanks my brother!!!
 
Michelle got few words for u; he isnt too good for u, u deserve him tht is why u r with him, it is not a coincidence kuwa naye. jiamini dear
 

ahh ktamboooooooo nilikuwa na wa dzain i..yaazn kosa lako lakin ahh mama nsamehe ,nimekosa mimi...znamtoka tu..
lakin uwa inapain sana minapenda sana mtu mkorof..nikimkosea aniambie lakin yule wa kumute ahh inaninyima burdan kwakweli..raha ya ugomvi usemwe kdg:dance:
 

Wanawake bwana,hebu nenda kasome uzi wa "Mabint mnahitaji nini?"halafu ujiulize na maelezo ya Michelle!Ule uzi ulitoka kabla ya huu!Maji hayasahau baridi!
 
Michlle, huyo ndo mwanaume wa ukweli tana mwenye akili ilokomaa na maadili mema anayo pia. sasa ndugu yangu wewe unapenda mwanaume anaeongea kama king'ora mpaka umstopishe kwa kumziba na chuchu ya plastiki ya yakunyonyea mtoto heee binti vipi wewe, na hata ukifanya kitu hana cha maana cha kukushauri wa nini huyo sasa? Mwanaume wa hivyo mi ndo nampenda yani unakosea mpaka unaona aibu mwenyewe.Nadhani ushaona snema ya prty woman sio, shikilia hiyo ngoma hakuna kuachia, ukimuacha mlete kwangu.
 
Wanawake huwa mnawapenda bad boys mtu akiwa perfect sana anaonekana hajui mapenzi!

Nikweli wanawake wanapenda wanaume wa fujofujo, but im telling you wanaume wapole bomba kishenzi kwanza hua wanamaanisha anachokifanya na wengi wao mapenzi wanajua sana tu, kuliko wale wanao kimbiliwa na kila mwanamke kwaajili ya masifa yao.
Hao ambao katikati ya gem mara sim imelia kaacha anaanza kupokea simu la nini sasa la hivyo si bora huyo mpole anaeheshimu, na kumaanisha anachokifanya.
 
Nashindwa kukubaliana na wewe, mara nyingi wapole huwa wanaficha makucha yao na wanakuwa na ajenda za siri chinichini akiibuka unaweza pata presha ndio waale wanaojiuliza ni huyu mpenzi wangu aliyekuwa mpole au sio. Mie napenda mwanaume muongeaji, huyu kwangu itakuwa rahisi sana kujua anapenda nini na anachukia nini, na kwa maelezo ya dada michelle inaonekana kabisa mwanaume anamuogopa, punguza ukali dada angu wanaume wa aina hii wakikuoa wakitoka nje ni ngumu sana kumwachisha na hawala yake sababu anakuwa anapata handling nzuri kwa upole na unyenyekevu si mnawajua wezi wanavyokuwa wajameni
 
nimekukubali sana BB upo juu sana unajua?
 

Sijaonge kwa ukali bwana labda kwa ushabiki tu, Mh kwakweli mi muongeaji sana ananiboa, unajua kuna mpole na kuna mpole mwenye maadi na hofu ya mungu. Huyo wa michelle anaonekana kabisa anamaadili na hofu ya mungu na pia anauelewa flani ndo maana hua anamsikiliza tu mwenzie. Ninacho amini kwa wanaume wote, ukiona kapunguza upendo ujue kunakitu kina endelea sehem, yani unaibiwa, na ukiona kazidisha upendo zaidi ya kawaida jubu lake ni hilo hilo uchunguze taratibu utajua anazidisha upendo sana kwako ili akupumbaze na aendelee kuku cheat, end of the day Dont truts a man.
 
Daaah! Nimechoka kabisa ngoja niende MARA nikapate kozi ya miezi mitatu.
 

sawa Mamushka wangu,nitajitahidi kadri ya uwezo wangu,siku tu nikiona siwezi nakukabidhi,naamini hauko kama kwenye hiyo picha manake sitapenda kusikia ameumia,he is the opposite of you(hana mwili mkubwa)...l.o.l
 

nimekusoma dada Dinnah,nitajitahidi kadri ya uwezo wangu na Mungu anisaidie,si rahisi kubadili nilivyo pia!uwe na wikiendi njema!
 
Reactions: Mbu
sawa Mamushka wangu,nitajitahidi kadri ya uwezo wangu,siku tu nikiona siwezi nakukabidhi,naamini hauko kama kwenye hiyo picha manake sitapenda kusikia ameumia,he is the opposite of you(hana mwili mkubwa)...l.o.l

Hahaaa usiogope hayo ni mazoezi tu, mzigo uko pale pale, najivunia kua mwanamke halisi.
 
nimekusoma dada Dinnah,nitajitahidi kadri ya uwezo wangu na Mungu anisaidie,si rahisi kubadili nilivyo pia!uwe na wikiendi njema!

...hujaamua tu.

Ukiweka nia, hakuna linaloshindikana.
Sote tuna mapungufu, hakuna mkamilifu.

Kuna udhaifu wewe pekee unaoutambua na,
kuna udhaifu (wako) watu wanautambua (huenda nawe unaujua)

Iwapo Una udhaifu ambao unaujua na watu wanaujua, Jitahidi ubadilike haraka!
 
wanawake wanapenda mtu mkorofi , ukiwa mpole unaonekana zoba na heshima inapungua .........
 
inatokea sana hiyo ndugu yangu. Moyo hua haudanganyi, nadhani fuata hisia zako at the same time unashirikisha akili kidogo. Kupenda/kupendwa shughuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…