Too good for me???


Huo ndo ukweli Mamushka....hapo kwenye nyekundu ndivyo ilivyo....mimi pia sipendi mwanaume chiriku,ni kati ya vitu vya kwanza vinavyonikimbiza kwa mtu.
 
Elia bana...smiling part of you inawafanya girls wafanyeje? wasione mapungufu yako??? au inakusaidiaje???

ha ha haaa, inakuwani ku pretend, au kuchukuliana tu. au wanasema tabasamu la mamba. au sometimes inakuwa ni defensive mechanism
 
Code:
Mimi kweli nikipata mwanaume mpole na mnyenyekevu napata shida sana,manake unaweza chukia ukamjibu vibaya yeye yuko tu anakuangalia na baadaye anakuweka chini kwa upole anakueleza tatizo......waga kinaniuma sana,to the extent nafikiri maybe i deserve mtu mkali na mkorofi kidogo.....au mwingine,anakusamehe ukikosea na anakuelewa mpaka unaona,this is too good to be true...na wale ambao unamwambia makosa ambayo unafikiri yatamfanya akukimbie (kama kuwa na mtoto) lakini bado tu yeye anakupenda.....!!!


You are craving for a bad boy but watch out ....ask Whitney Houston........................how she lost it all for the experimentation with evil,................
You are craving for a bad boy............but watch out...muuluze whitney houston
 
Nah,u neva know,u might be the one who is too good for him!Wish you knew what was in his head!:becky:
 
...this thread is haunting me since day one nilipoiona hapa...
michelle naomba printout pse...x
 

Anaglia yasije kukupata yaliyomkuta Rihana kwa chriss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…