Too litle too late

Too litle too late

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Its Obvious and Abumndantly now days to here wife and lovers are in great faults.And when the suspect is in sense one lover could revolts that,Especially for Women,they say im not satsfied with sex afair.Now let me wellcome your Great Excellence and Fantantastic Views on this Vulnerable Carpert
 
vimeota sugu, that's why, afu utandawazi, watu sijui wanataka uingie chumvini, mara sijui ufanyeje...so its possible kuwa ni kweli, lakini all ni tamaa tu, and sio wanawake tu, hata wanaume, utamkuta ana visichana portfolio nzima ukimuuliza anakwambia assurance.. tupa kule..hakuna mapenzi kuna ngono that's it, so people are not exactly lovers nowdays, they are...........s
 
dah, lugha iliyotumiwa na mtoa uzi ni 'too complicated' for me to understand... aliyeelewa adadavue kidogo tafadhali
 
I doubt when u say "especially women" ungesema "especially men" it could get into my senses bt icwe tabu there are a lot of factors zinazopelekea hivyo but zote ni product ya TAMAA 2! Its very dificult 2 satisfy yua fellow human being!
 
ngoja nirejee arumeru, mapenzi badae jumatatu
 
Its Obvious and Abumndantly now days to here wife and lovers are in great faults.And when the suspect is in sense one lover could revolts that,Especially for Women,they say im not satsfied with sex afair.Now let me wellcome your Great Excellence and Fantantastic Views on this Vulnerable Carpert

Did you say they women say ' i am not astified on financial capability of my ATM A.K.A fiancee' or I misqouted you?
 
Its Obvious and Abumndantly now days to here wife and lovers are in great faults.And when the suspect is in sense one lover could revolts that,Especially for Women,they say im not satsfied with sex afair.Now let me wellcome your Great Excellence and Fantantastic Views on this Vulnerable Carpert

"...Lugha ngeni za nini kwenye muziki wa nyumbani, ...wakati bongo flava inapeta zaidi uswahilini".
 
dah, lugha iliyotumiwa na mtoa uzi ni 'too complicated' for me to understand... aliyeelewa adadavue kidogo tafadhali

Ni tafsiri ya moja kwa moja kutoka kiswahili. Angeandika kwa kiswahili ingeeleweka vyema kabisa.
 
huku ni kutesana tu aisee...
Jifunze kuwasiliana kwa ufasaha
 
Hata mm napita maana lugha ina Common Mistake kibao wife & loves they say I'm not satisfied
Kwa ujumla mitandao yetu huwafanya wote wajaribu new taste na ukishafanya hutaacha ukiingiza kidole utataka mkono uingie
 
Back
Top Bottom