too-sadwapenzi-wajinyonga-kwa-pamoja

shauri zao wanafikiria labda mbinguni kuna ndoa.
 
someetime baraka za wazazi sio ishu,wangekimbia mkoa au nchi wakaenda kuishi wote pamoja,
Hawakutaka kuwaza hayo yote maskini wakaona suluhisho ni kifo

Sasa sijui wamemkomesha nani!!
 
Dah! RIP them.. mi mwenyewe nilikuwa na mpango wa kujiua..mapnz yananitesa sana sina hata raha,kama kuna hands0me men jaman ur welc0meee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…