Tools nov 2008

Tools nov 2008

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Posts
4,201
Reaction score
236
kuanzia mwezi huu nimeanza kuandaa ukurasa wa tools katika ukurasa hii nitakuwa naandika kuhusu programu ambazo zinatumika katika shuguli mbali mbali za komputa ambazo upatikanaji wake ni bure katika tovuti kadhaa kama kuna wakuchangia naomba tuwasiliane tuweke pamoja
 
Pamoja mkuu hiyo kitu imetulia ile mbaya yaani nimekubali mimi mwenyewe nadhani itatusaidia watu wengi pia.........
 
Kama unazitaka inabidi usearch kutumia search engine yoyote utapata tovuti zake
 
Thanks Shy, kuna watu tunafaidi haswaa na thread zako! Keep it up man, I personnally will apply them in my activities.
 
Kuna umuhimu wa wakuu wa kuanzia kijarida chetu kama dedication mnaonaje wakuu
 
Back
Top Bottom